MANDEVUMENGI
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 1,356
- 3,626
Wakuu habari zenu...niende moja kwa moja kwenye mada,hapa juzi kati nilimsindikiza rafiki yangu kwa mtaalamu kuna mambo yake ya kibiashara alikuwa ameenda kuweka sawa kwa hawa mashehe wanao_omba dua yaaan wanapiga kisomo,jamaa yeye alikuwa ndani na mm nilikuwa nje baada ya kumaliza mambo yao na shehe akaniita akasema njoo bhana umsalimie shehe basi katika story mbili tatu shehe akawa anasema kuna mteja wake anamuandalia dawa ya kumfungua maana kafungwa kimapenz...sasa kusema ule ukwel mm kwa hawa wataalamu wa tiba za asili sio muendaji kabsa na nikili kabsa cjawah fika kwa mtaalamu wa tiba za asili kupatiwa tiba,ikabidi nihoji kwan mtu alyeifungwa kimapenz anakuwa na dalili gan??..shehe akajibu kwanza mwanaume aliyefungwa kimapenz na mkewe au mpenz kwanza akitongoza hakubaliwi au akikubaliwa basi lazima mbele mipango itavurugika yaan hatoweza kulala na huyo mwanamke...kutokana na maelezo yale moja kwa moja nikahisi kitu coz mm ni mzee wa totoz yaan nina mademu wengi lkn katika miezi mitatu nyuma hii yaan kila nikipiga mashuti kwa totoz mpya naambulia patupu au naweza kubaliwa lkn kula NYAPU inakuwa ishu sana,nikamuelezea shehe nikamwambia hebu anichek na mm kama nimefungwa au laah!...basi akaniuliza jina la huyo mpenz wangu na ubin wake nikamtajia den akachek baada ya mda kidogo akasema nanukuu"bwana mdogo umepigwa pini yaan ww hata utongoze wanawake mia lkn huwez kufanikiwa kuwalala hao wanawake,yaan huyu mwanamke wako kakufunga usitamaniwe na mwanamke yeyote hata uwe na muenekano mzuri vp lkn hakuna mwanamke utayeweza kumtongoza akakubali yaan ww utakuwa unakataliwa tu,au hata ukikubaliwa lkn hutoweza kumlala huyo mwanamke"mwisho wa nukuu"...nikamuambia basi anifanyie tiba kama inawezekana kufungua hcho kifungo niwe huru..akanifanyia tiba flani ya kuongea maneno flani na kuna dawa akanipaka akasema hapo upo huru na hakunitoza pesa yeyote ile akasema kama ukifanikiwa utaleta kiasi chochote nikachojaaliwa kama sadaka tu.
BAAADA YA KURUDI GETO:
Ile nafika gheto tu nmekaa kama dkk kadhaa hv nikaona cm inaita kuchek kuna mtoto flan hv alikuwa ananipiga chenga balaa lkn leo akapiga cm na wakat hajawah kunipigia cm tangu nichukue namba yake na yapata miez miwil toka namfukuzia,kupokea mtoto ananiuliza "Giancarlo uko wap jaman nmejikuta leo tu nakukumbuka,baada ya maongezi ya dkk tano huwez amini nikakumbushia kuhusu ombi langu mtoto akawa kwenye mstari mpaka sikuamini na kuniahid kesho yake atakuja gheto na kwel huwez amini kesho yake alifika gheto na akaliwa...yaan kiufupi zile shobo ambazo nilikuwa nashobokewa zaman na mademu zilirud na sio kwamba najisifia bali ndo huwa ipo hvyo kwa upande wangu...ndani ya wk moja nikawa nmekula nyapu za mademu wanne yaan nikawa nmerud kwenye ubora wangu.....Na kuhusu yule mtaalamu wa tiba za asili kwa upande wangu naona hajaniongopea coz matokeo nimeyaona na hakunitoza pesa yoyote labda mm nipeleke kama sadaka tu..Sasa tatizo linakuja kwa huyu mpenz wangu sielewi je nimwambie kuhusu hyo tabia yake aliyoifanya au nikaushe?...Na je kuna mdau yeyote aliyekutana na tatizo kama langu..na mambo kama haya yapo kwel?..maana mm sio mjuzi wa mambo ya nguvu za ushirikina hebu tujuzane wadau...
N.B..Hii sio chai kama chai zenu zingne za hapa jf kama huna la kuchangia ni bora ukae kimya ili wenye mawazo mazuri wakatujuza coz ck hz jf kumeibuka mtindo mtu anatoa duku duku lake au stori yake ili ashauriwe lkn anaambulia kejeli na dharau so its better ukakaa kimya kama huna la kuchangia