Makanyaga
Platinum Member
- Sep 28, 2007
- 11,821
- 7,562
Utotoni raha jamani, ona watoto wanavyopendeza. Assuming na tabia zao zinapendeza kama walivyo, yaani raha tupu!KATIKA LILE SHINDANO LA KUMSAKA KIJANA HANDSON WA JIJI LADAR washiriki walijitokeza 20 na 6 tu ndioKwahiyo basi tarehe 16/10/2013 pale pale Club Bilicanas tutafanya audition ingine kwaajili ya kuchagua washiriki wa 4, ambao wataungana na wale 6, ili kufikisha idadi ya washiriki 10, ambao watachuana vikali siku ya mwisho pale CLUB BILICANAS TAREHE 1 MWEZI WA 11 MWAKA 2013..ITAKUWA SIKU YA IJUMAA SIYO YA KUKOSA SIKU HIYO..walipatikana kulingana na vigezo Vilivyohitajika![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()