Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,236
- 26,770
nimtafutie wapi wakati hapa tupo jf
the right question to the wrong person....
nimtafutie wapi wakati hapa tupo jf
Najiuliza tu, sijui walijuaje kuwa ni mahendisamu hata wakajipeleka kushiriki...
Wazo la haraka linalonijia ni kuwa walisifiwa na mademu zao kuwa wao ni mahendisamu...
Walijiangalia kwenye kioo..
ningekuwepo ningewafunika wote hao,maana hao ni wa kawaida sana ila mambo za kuonyesha boxer ni upuuzi siwez ufanya
nipo best! Wavae kwanini? Wanakutega hapo mitaa ya kati ama?
Wazuri kweli kweli lakini
ila vijana wapo mahali pake
wazuri kweli kweli nimemeza mate hadi yameisha mdomoni