Handsome anatafurwa dar

Handsome anatafurwa dar

huu ni unyanya....kabisaaaaaa




Kabisaaaaaaa


Yani nashangaa sana mwanaume anapojiiweka busy na uonekano wake,
Namuwekea shaka zaidi anapokua busy kuweka picha zake Fb

Anataka asifiwe mzuri ili iweje???

Na dada yake tutamsifia vp??
 
utakuwa mjinga kumpiga mtu kama huyu mzinga! Uumbaji tu ni mzinga tosha

Sasa hapo mzinga unapiga wa nini.......akikohoa tu.....unaitika......yes darling.....another ride.......chaaa.......ngife Ruwa......
 
ila i dont find them handsome bali wana stable body size but beauty is in the eye of tge beer holder n ive not hold one

hata mie naona hivyo..some of them they don't have even that body to make you say waooh....
 
sasa hapo mzinga unapiga wa nini.......akikohoa tu.....unaitika......yes darling.....another ride.......chaaa.......ngife ruwa......
akijamba au kupiga chafya unamwambia pole baby ...hujaumia niite ambulance?
 
nipo best! Wavae kwanini? Wanakutega hapo mitaa ya kati ama?
Wazuri kweli kweli lakini
Best hawanitegi wala nini! Wananikera hiyo boxer yao, kwani mpaka waioneshe?
 
hivi ile ya kwanza ni boxer?

Mimi sijaona boxer.......nilikuwa nawaangalia kwa mtazamo mwingine kabisaaaa........nyie sasa ndio mnaniambia mambo ya boxer........
 
wangeamua basi kukaa hivihivi kama walivyotoka duniani tujue moja
kuliko kuonesha imyeenda gya nkati silimwalo (nyali)
 
ha ha ha!!

yaani nilivyoanza tu kusoma hii sredi, nikajua tu lazima ushatia timu!!!

lazima nitie maguu naona mnawapa sifa za kijinga na sioni kama ata nusu wananifikia hao wamekaa wafugaji tu,ningekuwepo mim apo warembo wa JF hakina preta etc wasingelala ,usiku wangeniota tu
 
lazima nitie maguu naona mnawapa sifa za kijinga na sioni kama ata nusu wananifikia hao wamekaa wafugaji tu,ningekuwepo mim apo warembo wa JF hakina preta etc wasingelala ,usiku wangeniota tu

cc: Preta
 
Last edited by a moderator:
Yeah mi sijaona wanacho compit hapo wangekuja watu na miili ya kama kina Juan miguel wavue mashati hapo sawa hawa labda wana shindana onyeshana boxer
tatizo hawa wanaenda gym lakin hata diets hawajui

This dude is hot acha tu,.....
Hadi kesho bado namkubali ila hao hapana.nawaona kawaida sana
William-Levy-726x1024.jpg
 
Back
Top Bottom