Handsome anatafurwa dar

Handsome anatafurwa dar

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
15,347
Reaction score
11,628
KATIKA LILE SHINDANO LA KUMSAKA KIJANA HANDSON WA JIJI LADAR washiriki walijitokeza 20…na 6 tu ndio
Kwahiyo basi tarehe 16/10/2013 pale pale Club Bilicanas tutafanya audition ingine kwaajili ya kuchagua washiriki wa 4, ambao wataungana na wale 6, ili kufikisha idadi ya washiriki 10, ambao watachuana vikali siku ya mwisho pale CLUB BILICANAS TAREHE 1 MWEZI WA 11 MWAKA 2013..ITAKUWA SIKU YA IJUMAA… SIYO YA KUKOSA SIKU HIYO..​
walipatikana kulingana na vigezo Vilivyohitajika

mrhandsomedar2-2013.jpg
mrhandsomedar3-2013.jpg

mrhandsomedar4-2013.jpg
mrhandsomedar5-2013.jpg
mrhandsomedar2013.jpg

​
mrhandsomedar12013.jpg
mrhandsomedar0.jpg
 
kwani kuwa handsome lazima kuvua shati ndo watu wafaham we handsome?
 
Naona kuna alshabab hapo mwanzo. Kumbe na wao wanashiriki huu ujinga?
 
ningekuwepo ningewafunika wote hao,maana hao ni wa kawaida sana ila mambo za kuonyesha boxer ni upuuzi siwez ufanya
 
Smile upo? Hebu waambie vijana wako wavae mashati kwanza. Lol!
 
Last edited by a moderator:
Kwann wanaume wengi kizazi hiki huonyesha nguo zao za ndani je ni kuvutia au ni ulimbukeni kusiko sawa
Mkuu Sikukuu njema, Hayo ni mambo ya vijana yanapita tu, watachoka na baadae kuacha!! Walikuwepo wengi zamani nao walitumia wakati wao, Hayo ni mapito tuu! Time will tell (( kila wakati na vijana walivyo )) ... Heshima kwa vizazi TZ2013.
 
Back
Top Bottom