Kama mlivyofanya we na nyamayao?
hapana kaka ikiwa utajulishwa tu ili upate sehemu ya mahari lol
Ahsante shishi kwa hii thread, maana tunaweza kujifunza vizuri mambo ya financial, haswa jinsi ya kushare mnapokuwa kwenye ndoa.
Mie niko mbioni kuja huko ndoani, ila huyu mwenzangu hataki nichangie kitu chochote, ananiambia yeye atabeba majukumu yote kama mwanaume. Mie hadi woga unanishika, maana kama kipato cha kuchangia ninacho, ila yeye anataka kufanya kila kitu. Je yupo sawa hivi kweli? Maana baadhi ya rafiki zangu wanasema eti ndio mwanaume mzuri, maana nitakuwa huru na pesa zangu. Lakini mimi najiona kama vile kuna walakini.

basi jameniiii nimeshindwa mie tangu ugongwe na nyoka shost umekuwa mkali hata ubua unaogopa? lakini hapo si bure nyamayao ndio anakufundisha uninja..... maaana nae mhhhhh..............wepi?
basi jameniiii nimeshindwa mie tangu ugongwe na nyoka shost umekuwa mkali hata ubua unaogopa? lakini hapo si bure nyamayao ndio anakufundisha uninja..... maaana nae mhhhhh
basi jameniiii nimeshindwa mie tangu ugongwe na nyoka shost umekuwa mkali hata ubua unaogopa? lakini hapo si bure nyamayao ndio anakufundisha uninja..... maaana nae mhhhhh
Dada Pretty,
huyo mumeo mtarajiwa anakuvutia pumzi kwanza uingie kwenye pingu ya kutenganishwa na kifo. Ukishaingia humo utachangia hadi pesa ya kusomesha wadogo zake. Wewe wanaume unatujua au unatuona externally tu, tunabadilika mpaka unashika kichwa unajiuliza vipi hivi huyu ndio yuleyule au ni mwingine au amelogwa.
Husiifurahie sana hali hiyo ukafikiri itaendelea milele, ndoa ni safari jamani
Nawasilisha
Nina swali hivi ni lazima ku-entertain swala la kusomesha ndugu na kutoa misaada ya hapa na pale ambayo asilimia kubwa inaishia kununulia vitu visivyo na umuhimu?
Akiba muhimu ndugu yangu, tena nimejidhatiti kweli kweli, akibadilika tu, na mie tayari nina pakusimamia. Wanasema akili kumkichwa!!!...naam, tena ogopa kweli kweli!
Hamna kitu hiyo eti atabeba 'msalaba' wote! Sikiza moyo wako, jiwekee akiba siku ya siku utayokuja-itwa 'golikipa!'
mmm Nyamayao, hebu tupe hiyo rafu ili tuone kama ilikuwa rafu kweli au ni ilikuwa challenge ya kawaida kwenye mchezo, si unajua wewe unaweza kuona rafu kumbe sheria za mpira zikasema hiyo 'imo'.. ee hebu tumuvuzishie isije ikawa unamblast tu Mr.....😉
alicheza rafu na ina imenisaidia yeye kuwa kwenye mstari bila kokoro wala kakara, kajinasa mwenyewe.....
Hehehe wale jamaa wanao waosha miguu sijui wacongoman iwa wananiumiza roho wale utaona kaushikilia mguu wa mke wa mtu dah....nikiwepo mm sikubali.
....... Ah mamii nyamayao simuwezi maana duh ile namba chafu. Sie wengine useminary umetuharibu sijui kwa nini hatukuamua kuingia kwenye usista tu ikajulikana moja. lol
...... Kwa kweli na ni lazima awe anatamani siku zirudi nyuma ili a-undo. kama rafu yenyewe ni mbaya!
Ila ole wako akunase na wewe, utalipia dada yangu
Akiba muhimu ndugu yangu, tena nimejidhatiti kweli kweli, akibadilika tu, na mie tayari nina pakusimamia. Wanasema akili kumkichwa!!!