as if 95 percent ya Watanzania wanajua maana ya swagger ni nini.........
Mimi mwenyewe sijui. Au nimepitwa na wakati?
Mimi mwenyewe sijui. Au nimepitwa na wakati?
Nina pata wakati mgumu kuamini upo Muhimbili College..No wonder mnapasua watu vichwa badala ya mguu..... sasa hapa unatupa taarifa au unataka tujadili mada au unahitaji ushauri?
Nina pata wakati mgumu kuamini upo Muhimbili College..No wonder mnapasua watu vichwa badala ya mguu..... sasa hapa unatupa taarifa au unataka tujadili mada au unahitaji ushauri?
toa ushauri, qn mark ukuiona?
How do you define Swagger?
Bila hili kwa wengine tusiojua hayo maswaga mnayatafsiri vipi nyie itakuwa ni sawa na usiku wa giza kwetu na hakuna wazo mtu anaweza kutoa kwa kushindwa kuconnect "swagga" (as you define) na kuweza kupata mwenza
umempaje za kichwa
umzima???
i like ur swaggee baby
lol! C ndo unataka tuwapasue vchwa badala ya magoti, unataka tukeshe usiku mzima tnakariri script za mapenzi, maana na kazi ya MMU ya jf inatosha kusolve mambo.Makubwa..kwa hiyo anayehitaji ushauri ni wewe au chuo kizima au huyo jamaa ambaye hana swaga!?
Anyway mie ushauri wangu kwenye sylabus yenu wawaongezee somo la kujitambua au MMU.
hili neno sasa linachosha masikioni
way overused
How do you define Swagger?
lol! C ndo unataka tuwapasue vchwa badala ya magoti, unataka tukeshe usiku mzima tnakariri script za mapenzi, maana na kazi ya MMU ya jf inatosha kusolve mambo.