Ni sawa uliyoeleza kama ni wadhifa sidhani kama wigi linapendeza mbona mama anna mkapa alikuwa na nywele zake nzuri tu na alikua natural basi hata siku moja haliondoi na nina wasiwasi analala naloAna nywele tena nzuri mno fyi.
Moja - Uzuri wa wigi inapunguza muda mwingi wa kutengeneza nywele.Wadhifa alio nao hana muda wa kupoteza salon masaa 2-4 kisa kutengeneza nywele.
Pili ni fasheni tu -
Tatu - siku hizi wanawake wanapenda kupumzisha nywele zao kwa madawa na kusuka nako kuna adha yake.
Jmani me nauliza tu hivi huyu spika wetu hana nywele au ni fashion ya wigi sielewi
ongea vya maanaKwani wewe unahisi bi. mkora ana uaraza?
Siku pakinuka Mjengoni na akatoka mbio tutaupata ukweli!
hatumkosoi kama binadamu tunamkosoa kwa mambo yake kina chifupa alitolewa mjengoni kisa ni nguo sio ustaarabu kavaa hayo mawigi tunachotaka atukuze uhalisia wa mtanzania.hatukumsema sura wala umbo hapo ndo kumkosea binadamu. na kweli siku likinuka hapo mjengoni litavuka na tuatapata ukweli.mbona we umesuka na umependeza kwa nn usivae wigiHalafu nashangaa....hivi JF kazi yake ni kukosoa mambo yenye kuwa na maendeleo kwa Watanzania au ni kujadili sura na urembo, wa watu?
Kwani mlisikia uspeaker ni u Miss/Mr Tanzania? Ndio maana wengine mkiambiwa chagueni viongozi wa kuwaongozeni kwenye maendeleo na neema mnapoteza mwelekeo na kuangalia sura, nywele, makalio nk......
Kuna aliyekamilika idara zote?Nyie mnaomkosoa binadamu mwenzenu na nyie mkichambuliwa labda kasoro zitajaa kwenye kiroba!
Ebu tuacheni mambo haya.
Ana nywele tena nzuri mno fyi.
Moja - Uzuri wa wigi inapunguza muda mwingi wa kutengeneza nywele.Wadhifa alio nao hana muda wa kupoteza salon masaa 2-4 kisa kutengeneza nywele.
Pili ni fasheni tu -
Tatu - siku hizi wanawake wanapenda kupumzisha nywele zao kwa madawa na kusuka nako kuna adha yake.
ongea vya maana
Ma mdogo usintafute ubaya, nina matatizo chungu nzima, tasavali usiniongezee mengine. kaa na yako ya kwangu niachie!