Hamissi Hamza Jr
JF-Expert Member
- Apr 16, 2020
- 529
- 1,049
Jina urembo limeficha utapeli Na wizi wa wazi wazi, kwanini uwe na Taswira 2 ukivaa na kuvua wigi?
Serikali iingilie kati uingizwaji nchini wa urembo bandia, yaani nywele juu ya nywele, nyusi juu ya nyusi, kucha juu ya kucha. Mnaona haitoshi saivi ni makebo juu ya kebo.
UTAPELI TU😞