HKigwangalla
JF-Expert Member
- Feb 6, 2008
- 722
- 971
-Kuwa karibu na wananchi kivipi?Yeye ni mwakilishi wa wananchi lakini inaonekana anawakilisha wavunja sheria za barabarani na wahalifu.Hapa anastahili kuchukuliwa hatua za kisheria mara moja
-Pia hoja ya kuwa karibu na wananchi kutafuta ATM kwa kupanda Bodaboda mjini ni kutafuta cheap popularity na ku-expose fikra zilizochusha na kwa kuwa huyu ni msomi mwenye MBA anajua umuhimu wa huduma ya kibenki vijijini.Sasa kule Nzega ameshapigana kwa kiasi gani kuhakikisha huduma hiyo inawafikia wananchi vijijini?
-Nilidhani hiyo ndiyo inge-reflect ukaribu wake kwa wananchi kuliko jitihada hizi anazofanya mjini za kuvunja sheria za usalama barabarani na kuwadhalilisha wananchi waliomchagua kwa jaribio hili la kuonyesha yeye ni mwakilishi asiyezingatia sheria na anayerudisha nyuma harakati za kukabiliana na ajali za barabarani
ugomvi upi?Ulishaumaliza ugomvi wako na Bashe ?
Utafikiri ulikuwepo vile!
Nimeamini jambo moja tu kwamba, kweli kuna watu mna vipaji vya kutengeneza mambo. Hii picha ilipigwa mara moja tu na haikurudiwa.nitake radhi kama ni uongo ubishe mbele ya mwenyezi mungu. Aliyekupiga ni kijana mmoja ambaye hata kutumia simu yako hajui vizuri alikuwa amevaa shati la mikono mifupi la rangi nyeusi na draft nyeupe, si mweusi sana ni mrefu wa wastani na mwembamba wastani ulipigia karibu na mlango wa kuingilia bank. KATAA KAMA SI KWELI NA KAMA UNAYOONGEA NI HAKI MBELE YA MUNGU
And who took that photo?
Kigwangallah na Gaidi Bashe wakioneka wakitafuta pembe za Ndovu huko manyara kazi waliyopewa na jangili kinana
View attachment 73338
Nimeamini jambo moja tu kwamba, kweli kuna watu mna vipaji vya kutengeneza mambo. Hii picha ilipigwa mara moja tu na haikurudiwa.
And who took that photo?
Mtunga sheria unasema hujui kama hiyo sheria ipo ama haipo!sina hakika kama kuna sheria
Angalieni picha vizuri. Huyo si Kigwangalla. It is a lookalike.
why do you say so?
Unafiki mtupu huo!
Kama wanasafiiri kwa bodaboda au pikipiki za kukodi basi warudishe zile milioni themanini walizopewa kununulia mashangingingi. Kisheria pesa zile walipewa ili zitumike kununulia magari imara yatakayowafikisha popoe walipo wapiga kura wao; na wala hazikuwa zawadi kwao kutumia watakavyo kama wabunge.
Iwapo walitumia pesa hizo nje ya malengo yake ya kisheria basi inatakiwa washtakiwe kwa kuvunja sheria inayotawala matumizi ya pesa hizo.
Jamani sisi ni great thinkers, au mmesahau? Nani alikwambia wabunge walipewa milioni themanini?.... Walikopeshwa tena zaidi ya kiasi unachokisema na kila mwezi wanakatwa kwenye mishahara yao.... Yaani kimsingi yale magari ni yao na wala si fadhila (japo sera ni ya Serikali kwamba mashangingi ndo yatumike kama chombo cha usafiri kwa wabunge-hii ni kutokana na hali ya miundombinu yetu na jiografia yetu. Huwezi kusafiri jimbo la Tabora kaskazini lenye kilomita (mzunguko) elfu 2 mia tatu na thelathini na tisa kwa kutumia gari aina ya corola). Halafu mtu anagonga like kwa mtu alieongea kitu asichokijua.... This is strange!!!! Jifunze kwanza kuhusu kitu kisha ndo useme ili uwe na haki!!!!!