Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,021
- 9,177
Wanashinda kupiga hizi picha?Next?
Wake zao wakiwa kwenye zile bajaji za ambulance!
Wanashinda kupiga hizi picha?Next?
... kama vile amejiandaa kupigwa picha! Ngoja niinote ID ya mleta mada, huenda ametumwa na Kigwangwalla kuja kuuza sifa za kijinga humu!
tumetoka kushuhudia picha ya Januari Makamba akiwa ndani ya Bajaji, leo sasa kuna kali ya mwaka Mbunge wa Nzega ame-post kwenye ukurasa wake wa FB picha akivinjari mitaa ya A-town kusaka ATM kwa kutumia usafiri wa Pikipiki, pamoja na kutaka kujionyesha wako karibu na maisha ya kila siku ya wananchi, nadhani Mbunge huyu amehatarisha maisha yake kwa kiasi kikubwa kwa kutokuvaa protective gears, hebu cheki mwenyewe hapa chini:
![]()
Hicho ndicho ninachokiona.Angalieni picha vizuri. Huyo si Kigwangalla. It is a lookalike.
tumetoka kushuhudia picha ya Januari Makamba akiwa ndani ya Bajaji, leo sasa kuna kali ya mwaka Mbunge wa Nzega ame-post kwenye ukurasa wake wa FB picha akivinjari mitaa ya A-town kusaka ATM kwa kutumia usafiri wa Pikipiki, pamoja na kutaka kujionyesha wako karibu na maisha ya kila siku ya wananchi, nadhani Mbunge huyu amehatarisha maisha yake kwa kiasi kikubwa kwa kutokuvaa protective gears, hebu cheki mwenyewe hapa chini:
![]()
why do you say so?Angalieni picha vizuri. Huyo si Kigwangalla. It is a lookalike.
Kwanin picha hiyo haikupigiwa Nzega?! Au ndo kuonyesha watu wa Arusha wana shida ya usafir na ATM kuliko Nzega?! Alifuata nin Arusha, ndg jamaa na marafik ama siasa?! Kama ni siasa nan kamtuma?!
Utafikiri ulikuwepo vile!Jamaa alijiandaa na pia hakuwa amekuja kwenye atm kama anavyosema na alipigwa picha ya kwanza ikawa mbaya akamwambia airudie ndiyo hiyo ikatoka na unafuu na ni majira ya jioni saa 11 na nusu hadi 12 na ukiangalia kwa makini dereva bodaboda amesimama na yeye mwenyewe amejiandaa na ndiyo maana sura imevutwa ili aonekane vizuri na pia jana hapakuwa na shida ya mawasiliano katika atm zozote hapa jijini arusha
Ulishaumaliza ugomvi wako na Bashe ?Ndugu, Nzega huwa natembea kwa miguu kabisa, achilia mbali pikipiki (mbona hiyo anasa kabisa!) na mara nyingi tu huwa natumia baiskeli...nitapiga picha nikiwa jimboni na baiskeli, sijui hapo utahoji nini tena!
Nzega huwa nakula mahindi na wapiga kura wangu, huwa nakunywa uji, ama chai na mihogo na karanga, ama kahawa na wazee wangu kwenye vijiwe vya jioni ama vya asubuhi na mapema na kupiga soga na wapiga kura wangu na wameishazoea hilo na wala si jambo la maonyesho. Nimesema mimi huwa si-pretend, nafanya mambo kwa uhalisia na wala siyo kwa kutafuta umaarufu wa kisiasa - mimi siyo mtoto wa kishua, ni mtoto wa jalalani na kwa wananzega hili si jambo geni kwao maana wananifahamu fika na wanafahamu nimekulia wapi kwa hiyo siwezi kuwadanganya leo eti mimi ni mtoto wa uzunguni wakati ni wa uswazi!
Wakatabahu,
HK.