Hamisa Mobeto, mtoto mzuri Tanzania nzima

Hamisa Mobeto, mtoto mzuri Tanzania nzima

Kiboko ni jina la mnyama
1474748448334.jpg
 
Kichwani kaweka katani..............Kwenye nyusi kaweka mikaa..............Ngozi kababua...............Mdomoni kapaka damu ya kenge................sasa huo uzuri unatoka wapi??????????????? wazuri ni akina FLAVIANA MATATA amabao wana uzuri wa asili sio hayo ma artificial.
 
Photoshop hizi ni balaa.. Huyu ni jirani yangu wala hayupo kama hivi
 
tanzania ya magufuri na uchumi wa viwanda!!!! tutafika tu
 
Back
Top Bottom