iJamii
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 1,954
- 1,504
Sio kivile mie nnamfahamu ila wanaofahamiana nae ndiyo wameniambia hivyoInaonesha unamjua sana. tupiako na kanamba kake basi
Sio kivile mie nnamfahamu ila wanaofahamiana nae ndiyo wameniambia hivyoInaonesha unamjua sana. tupiako na kanamba kake basi
Weka yako tulinganisheWa kawaida sana
Kweli KBS. Angekuwa anafikia hata robo ya uzuri wa huyu[emoji39] [emoji39] [emoji39]Ovyo tu
Mkuu kuna miaka miwili nyuma nilienda na mshikaji wangu kwa wakwe zake maeneo ya Singida sasa katika zurula tukapita mtaa,(kijiji?) Tukakuta kifaa cha kwenye 19 or early 20s kinauza supu ya kuku yaani kidada ntilie fulani hivi !huyo bint ni moto nikasema hao wanaofanya scouting ya model na mamiss kwa kweoi hawatembei japo kichafu fulani hivi(to my liking )lakini kama kingekuwa na shule au elimu ingekuwa si vigezo vya umiss na u model nadhani angeatoa kamasi wapinzaniwake.Duh! Tanzania mzima... hivi ushawahi kwenda bush kwetu wewe?!
Kabisa mkuu kizuri kinaonekana kwa mtumiaji......mengine blaablaa tuBinafsi huwa siamini kama kuna mwanamke mzuri zaidi ya mke wangu(mama Salma)toto ya Tanga.
Kweli mkuu, unaweza kuna huyo kakeketwa!😀😀😛😛Kabisa mkuu kizuri kinaonekana kwa mtumiaji......mengine blaablaa tu
Upo sahihi kabisa na kwa mazingira kama hayo, hata kama mngekuwa serious mumuingize kwenye mambo ya urembo bado ingekuwa ngumu sana kumshawishi! Ukitaka mtu kama huyo kumleta kwenye dunia ya urembo unachofanya ni kumleta town na baada ya miezi 6 hadi mwaka; yeye mwenyewe atajiona anaweza kufanya hilo jambo!Mkuu kuna miaka miwili nyuma nilienda na mshikaji wangu kwa wakwe zake maeneo ya Singida sasa katika zurula tukapita mtaa,(kijiji?) Tukakuta kifaa cha kwenye 19 or early 20s kinauza supu ya kuku yaani kidada ntilie fulani hivi !huyo bint ni moto nikasema hao wanaofanya scouting ya model na mamiss kwa kweoi hawatembei japo kichafu fulani hivi(to my liking )lakini kama kingekuwa na shule au elimu ingekuwa si vigezo vya umiss na u model nadhani angeatoa kamasi wapinzaniwake.
Tulijaribu kumdodosa juu ya uzuri wake kama angependa kushiriki mambo ya urembo alikataa vehemently tena kwa hofu akidai ni umalaya na kutemvea uchi tena atakuwa haolewi,tulipomuuliza kama anamchumba alituonesha mshikaji pembeni kapaki baiskeli ina madumu ya maji akituangalia kwa jicho la nitaua mtu!.
Lini jamaa anakuoa swali la mwisho bint akajibu siku yeyote atakayopenda yeye -lucky bastard!