Hamisa Mobeto, mtoto mzuri Tanzania nzima

Camera 360, hakuna lolote, wa kawaida mno
 
Ni mzuri sana huyu mdada,nilishamkutaga somewhere,ila tu kama yanayosemwa ni kweli anajishusha hadhi

Uzuri wa dukani bado si natural beauty thats why nimeomba picha yake akiwa natural, no make up no anything fake.
 
hata wewe hapo bila make up hakuna mwanaume angekupa hata salamu

Ha! Mbona sioaki make up kabisa na nawablock kila siku kwa usumbufu nikieka make up itabidi nitafute assistant wa kuniblokia wanaume.

Umemwona alicia keys anavaa make up siku hizi, u can tell bila make up kawa mzuri zaidi, dont tell me huyu hamisa mzuri wakati ana kilo kumi za make up usoni ....aje bila hayo matakataka tumpe marks halali
 
weka picha yako ukiwa hauna make up tukuone acha uongo
 
Back
Top Bottom