Hamisa Mobeto, mtoto mzuri Tanzania nzima

Hamisa Mobeto, mtoto mzuri Tanzania nzima

Wamejaa tele uswahilini wa namna hiyo, yani wakawaida kabisa
 
Hata sisi wazur bwana au kwa kuwa hatuweki picha zetu[emoji23]mwambie apige picha bila 360
 
Ni mzuri, lakini sio wa kusema tanzania nzima. Hapa hapa mjini wengi sana tu wanamkimbiza
 
one day yes kaka i swear ni mzur.
Makeup hizo wewe na Picha imefanyiwa madikodiko wewe wa wapi aisee no wa kawaida kama beck tatu wangu ,mvizie amekurupuka kutoka kulala utajionea wigi hakuna tens mmh balaa kakichwa km kishada
 
Ni mzuri, lakini sio wa kusema tanzania nzima. Hapa hapa mjini wengi sana tu wanamkimbiza
Kiboko yake huyu hapa

1474747181880.jpg
 
Huyo mabetto ni wa kawaida sana. Nchi kunamisumari ya hatari. Sema wewe umebahatika kukutana na huyo tu
 
Back
Top Bottom