Hamisa Mobeto, mtoto mzuri Tanzania nzima

Hamisa Mobeto, mtoto mzuri Tanzania nzima

Sasa Hamisa ana uzur gan zaid ya make up na kuwa kwnye media nahic mleta uzi hujui watoto wazur
 
sasa huyu si kajikoboa tu na kujipakapaka marangi kama keki?? Kuna uzuri hapo?
 
How come noko upande wa wanaosema si mzuri na muda huo huo udenda unanitoka?
Katoto katakuwa kachawi si bure ,nadhani kimenipiga limbwata la mtandaoni!
 
Tanzania wapo wanawake wazuri zaidi yake. Kuna huyo mmoja anakuja juu mno ktk fani ya model. Anaitwa Sanchoka. Huyo at least amekamilika kila idara. Yupo instagram na facebook huyo mdada. Mtazame ktk hii picha halafu uniambie.View attachment 405895
Daaaamn!!!! Nipe namba hela sio tatizo.
 
Back
Top Bottom