Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,303
Kweli kabisa huko vichakani kuna vyombo sio mchezo hawana muda wa kujitazama penye kioo unabaki unawaza kitu hiki nikikipeleka mjini kikawa kina koga mara tatu kwa siku juice za kujimiminia uhakika wa menu sio mchezo utaanza kupata marafiki wengi hasa matajiri.Hujawahi kutembelea Karatu wala Kondoa wewe ndo mana unaona huyo ni zaidi ya wengine,ni kwa sababu tu wengine hawaonekani kwenye mitandao