Tetesi: Hamisa kanyang'anywa mtoto na Majizo!!

Khaa! Yaani kwavile Diamond hana mema yoyote ndo basi tena!! Mbona unachanganya madesa?! Hakuna anayemponda Hamisa kuzaa na mwanaume wa mtu!! Hamisa sio wa kwanza na katu hawezi kuwa wa mwisho!

Hoja ni ujinga wake unaoonesha wazi alitaka au anataka kuvuruga uhusiano wa Diamond na Zari ili hatimae yeye ndo awe kinara! Huo ni ujinga kwa sababu ni mwanaume asiyejielewa tu ndie anaweza kuwa tayari kuvuruga familia yake at the expense of mwanamke aliyezaa nae! Unless huyo mwanamke "mpya" awe more valuable vinginevyo mwanaume yeyote atakuwa firm kulinda familia yake!

Kwamba ndugu zake wangefahamu kama ana mtoto wa nje; ni ndugu gani unaowazungumzia wewe?

Ashakum si matusi; hivi leo hii nikikupa ujauzito ni ndugu zangu gani utakaotaka wafahamu zaidi ya wazazi wangu na wadogo zangu au labda na close uncles?! Kama Bi. Sandra alifahamu, unatarajia kakake Bi Sandra asingefahamu?! Ndugu gani exactly?! Au ndugu wa Instagram wakiongozwa na akina Mange Kimambi?!

Ukweli ni kwamba alichofanya Hamisa ni kile kinachofanywa na wanawake wengi wa Uswahilini! Huyu mwanamke atazaa na committed guy na watakubaliana iwe siri yao. Wiki au wiki mbili baadae mwanamke anaenda Kitumbini kununua kanga zenye maandishi ya mipasho na mafumbo kisha kisha anazivaa na kujipitisha kwa "mke" wa jamaa ili kumuonesha hayupo peke yake!

Naongea kama mwanaume; ukifanya hayo hesabu unajitengenezea maumivu mwenyewe kwa sababu most responsible men ni kuungama kwa wenza wao na kinachobaki kwako ni maumivu!

Wapo smart women wengi tu mjini waliozaa na committed men! Wanachojali ni commitment na (future) assurance kutoka kwa mwanaume husika!!
Ulivyojichanganya sasa!!! Unapoonda uovu mmoja kwa kutetea uovu mwingine duuuh!! Kama ndio hivyo basi hata Hamisa usimshangae.
 
H

Hata mimi nimemwambia hivyo kabaki anajishau kuwa ''eti sio lazima nitoe comments,''uelewa wa wengine unastajabisha sana sijui angekuwa ndie mwanawe katolewa hiyo picha angefurahi
Wao wenyewe Ndio wanawadhalilisha watoto Wao na kutafuta kiki mjini.
 
Ulivyojichanganya sasa!!! Unapoonda uovu mmoja kwa kutetea uovu mwingine duuuh!! Kama ndio hivyo basi hata Hamisa usimshangae.
Isije ikawa wewe ndo umejichanganya! Nimeponda uovu upi na nimetetea upi?!
 
Umeongea sahihi kabisa!
Tatizo wabongo wengi tuna nyoyo dhaifuu mnoo!chuki husda na roho mbaya mnoo
Wengi wanamchukia hamisa kwa kua kazaa na diamond
Hilo ndo tatizo wengi wamechukia kwa kua hawakutegemea kama atazaa na mbongo tena hamisa mobeto bad enough mondi kamkubali mtoto na wanafanana mbaya!!
Huyo zari matoto matatu ya mwanaume mwingine hawamwiti incubator!
Mama mtu mzima anajikojoza kwenye video hawalioni hilooi

Ptuuu watakufa na roho zao mbaya
Kweli hao wabongo wengi wenye nyoyo dhaifu, chuki, husda na roho mbaya na wewe umo. Maana kuna unao wachukia pia. So sio mbaya na hamisa naye kuchukiwa na wengine
Eti matoto
 
Back
Top Bottom