Hamis Kingwangala amjibu Lowassa

Nilishamaluza kumsikitikia huyu jamaa.....sitafanya hivyo sasa, wala kesho
 
Ha ha ha.. Mwaka huu tutaona kila rangi ndani ya ccm..
 
kutoka Wama ya Mama Salma pale nyuma ya Ikulu hadi ubunge Nzega tena akiwa sio chaguo la kwanza wala la pili unategemea ataacha kuwatumikia nyumba kuu??!!

Kampuni ya MSK ilichotewa mabillioni ya shilling kama stimulus package ya mdororo wa uchumi kuelekea uchaguzi 2010 kutoka BoT,ni bahati tu??!! kwa mdororo upi??!!

Kigwa ni mwenyekiti wa kamati fulani bungeni kwa sasa ja ubunge alipewa baada ya Bashe kufungwa kamba ya usomali na Kikwete,Kigwa ataachaje kuwa kibaraka??!!
 
Ndo maama Hamisi Kigwangala kaomba mdahalo na Lowasa. Ana maswali mengi ya kumuuliza. Mie nina maswali mengi pia. Kwa kuanzia naweka haya maswali ambayo wadau wengi wameyauliza humu jf
 
Anasema kweli mlinda wezi hawezi kupewa ofisi, walijua sakata lote la richmund na mpk akalazimika kujiuzuru. Leo usafi apate wapi kama hakuwa yeye angejiuzuru mapema unafiki. Leo ameitaje wahariri fisi mwamgeuza mbuzi?
 
Anatafuta kiki tu, sidhani kama huruma ya Mama Salma itasaidia wakati baba Riz mwenyewe amefyata mkia. Aungurumapo Lowassa mcheza nani huko ugambani?
 
kigwangwala wewe ni kinda katika medani za siasa za ccm. hujulikani ccm na ni mgeni katika fitina za kiccm. sasa ujue ndio unapotea kabisa katika ccm. mimi niko ccm muda mrefu nazijua fitna za ccm. umekwisha kigangwala nakuonea huruma
Kazi imeanza na EL najua hutashinda hii vita kwani si ndogo unavyodhani na jina lako litakatwa bora ungekaa kimya!! Huwa nasema kila siku huna washauri wazuri wa campaign!!
View attachment 254564
 
Masikini HK!, kumbe hajui hata "what is the name of the game?!.

P.
Hapa dawa ni mtu wetu amwage vyote,ugali,mboga na maji ya kunawa! Hili fukuto lisipokuwa handled vema,basi Ukawa ni mwaka wa mavuno,mapeeemaaa!
Kuna wakubwa fulani wamejiandaa kumchinjia bahari EL,Including JK. Komesha yao ni EL kutema cheche...Watanywea,,otherwise...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…