Barubaru
JF-Expert Member
- Apr 6, 2009
- 7,161
- 2,323
Kitakuwa na Mbunge mmoja kama Mrema na Cheyo....Havifi vipi vipo tuu
Kwa Zanzibar hapati kitu. Labda awe mbunge wa habari maelezo.
Kitakuwa na Mbunge mmoja kama Mrema na Cheyo....Havifi vipi vipo tuu
viva chadema tulishamshtukia mapema sana huyu jamaa! Sasa aende akalime karafuu na ashindie urojo.
Mimi akija huku Khojani N'tampa.
hii vita ya kumwondoa ccm imekuwa ngumu sana sassa!
mimi ninavyojua Hamad Rashidi ni mtu makini sana, kama atafanikiwa kuanzisha chama kitafika mbali na kinaweza kuwa mkombozi wa kweli wa Mtanzania. Unajua wanachama wengi vya siasa Tanzania ni mashabiki wasiopenda kufikiri kwa umakini kupata ukweli wa viongozi wao, wanachojua ushabiki tu. wakipenda chama cha siasa fulani hawako tayari kufanya utafiti ili kujua malengo ya viongozi yanaendana na kauli zao.Tuwe makini jamani, hivi vyama vitaturudisha nyuma katika kuleta maendeo nchini. Tafakari chukua hatua!
Kwa Zanzibar hapati kitu. Labda awe mbunge wa habari maelezo.
mimi ninavyojua Hamad Rashidi ni mtu makini sana, kama atafanikiwa kuanzisha chama kitafika mbali na kinaweza kuwa mkombozi wa kweli wa Mtanzania. Unajua wanachama wengi vya siasa Tanzania ni mashabiki wasiopenda kufikiri kwa umakini kupata ukweli wa viongozi wao, wanachojua ushabiki tu. wakipenda chama cha siasa fulani hawako tayari kufanya utafiti ili kujua malengo ya viongozi yanaendana na kauli zao.Tuwe makini jamani, hivi vyama vitaturudisha nyuma katika kuleta maendeo nchini. Tafakari chukua hatua!
Wakuu nasikia Hamad Rashid na wenzake wameanzisha chama kiitwacho Alliance Democratic Party hii imekaaje kwa CUF kule Zanzibar, si watagawanyika na CCM itapeta milele
hamad rashid hata aanzishe chama hana mvuto....
Pamoja na mimi kuwa mfuasi wa CDM namkubali Hamad kama mwanasiasa hodari ila siungi mkono wazo la yeye kuanzisha chama maana utitiri tuliokuwa nao unatosha kabisa. Kuanzisha chama si lazima uwe msemaji kwenye majukwaa kwani chama ni mkusanyiko wa watu wenye lengo maalum kwa hiyo miongoni mwa watu hao watakuwepo wanasiasa wazuri tu. Hii inanikumbusha mwanzo kabisa wa upinzani ambapo mwalimu Nyerere alipewa nafasi ya kutoa mtazamo wake kwa vyama vya upinzani vya wakati ule. Alikiponda NCCR na kukiita cha wahuni aliibeza CUF kama chama kisicho na sera nzuri sana ila walikuwa na kiongozi mahiri kwa siasa - Hayati Shaban Mloo, alizisifu sera za CHADEMA kama ni sera bora kabisa ila alisema waziwazi kwamba Mwenyekiti wao wa wakati ule hakuwa mwanasiasa, bali mchumi - (Wakati huo alikuwa Mzee Mtei) na alitoa angalisho la waziwazi kwamba siku CHADEMA ingempata mwanasiasa wa kuzitafsiri sera zao hizo alizoziita "nzuri" kwa wananchi hata CCM itakuwa na wakati mgumu. Sote tunashuhudia sasa kinachotokea baada ya CHADEMA kuwapata wanasiasa kadhaa.mimi ninavyojua Hamad Rashidi ni mtu makini sana, kama atafanikiwa kuanzisha chama kitafika mbali na kinaweza kuwa mkombozi wa kweli wa Mtanzania. Unajua wanachama wengi vya siasa Tanzania ni mashabiki wasiopenda kufikiri kwa umakini kupata ukweli wa viongozi wao, wanachojua ushabiki tu. wakipenda chama cha siasa fulani hawako tayari kufanya utafiti ili kujua malengo ya viongozi yanaendana na kauli zao.Tuwe makini jamani, hivi vyama vitaturudisha nyuma katika kuleta maendeo nchini. Tafakari chukua hatua!