Maishamapya
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 1,279
- 375
Chama kipya kinaitwa " Fufua Kafu"-FUKA.
Mkuu, nafikiri wanakuhitaji kwa ushauri wa jina. Teh teh teh
Chama kipya kinaitwa " Fufua Kafu"-FUKA.
ni kweli hata kwenye mwananch,wamesema kitaitwa ccw(chama cha wananchi)
maalim seif anajua kabisa kuwa hr ataruhusiwa na mahakama kuendelea kuwa mbunge. Lengo lake ni hr akose mdomo wa kusemea kwenye chama na miguu ya kutembea akiwa mwana chama. So hr atabaki kuwa mbunge wa mahakama huku akiwa si chochote kwenye chama, na malengo ya hr kuwa katibu mkuu yameishia jana
me naamini wakikaa pamoja wale wote waliofukuzwa kwenye NGO'S za mwanzo wakapanga mikakati na kukubaliana wanaweza kuja na kitu imara sana kwani wamejifunza walikotoka.kina KAFULILA,wale MADIWANI wa arusha CHADEMA,HAMAD TAO NA JESSE MAKUNDI wa TLP,na wengine wote wwaliojeruhiwa pamoja na wazalendo waliopo ambao walikuwa hawajafanya maamuzi WAUNGANE NA WASIWE WABINAFSI.
Uroho wa Madaraka utawamaliza viongozi wa upinzani pamoja na vyama vyao. Wanajali tu maslahi yao binafsi
Haswa! Hiyo ni kete ya ushindi kwa CCM! Pengine hilo ndilo alilotaka maalim seif! Hebu tupe source mkuu!
Bado ni tetesi ila nimeipata kwa mmoja wa viongozi wa serikali ambaye siwezi mwandika jina lake humuHaswa! Hiyo ni kete ya ushindi kwa CCM! Pengine hilo ndilo alilotaka maalim seif! Hebu tupe source mkuu!
Wakuu nasikia Hamad Rashid na wenzake wameanzisha chama kiitwacho Alliance Democratic Party hii imekaaje kwa CUF kule Zanzibar, si watagawanyika na CCM itapeta milele
Wakuu nasikia Hamad Rashid na wenzake wameanzisha chama kiitwacho Alliance Democratic Party hii imekaaje kwa CUF kule Zanzibar, si watagawanyika na CCM itapeta milele