Hamad Rashid kuanzisha chama kipya!

Hamad Rashid kuanzisha chama kipya!

He says that he is due to launch a new political party later on March this year in what seems to be as an attempt to weaken his former political side CUF. He also was critical of Seif Shariff Hamad and used same interview to accuse CUF top leaders of bias and lack of vision. The only thing a beleagured MP is not aware of is the fact that he has very little if any support among the Mainland citizens.

Angesubiri hatma yake huko CUF na bungeni ndio aendelee na maisha mengine kisiasa. Nafananisha kitendo hiki (kama ni kweli) na mke aliyetalikiwa kuanza kutafuta mchumba au mpenzi ilhali eda hajamaliza.
 
Sasa kesi yake vp? Lets assume anashinda, ataendelea na harakati za chama kipya?
 
Kufuatia vuta nikuvute ndani ya CUF,hatimae HAMAD RASHID ametangaza kuwa ataanzisha chama kipya cha siasa.Hayo ameyathibitisha leo alipokuwa akihojiwa na Idhaa ya kiswahili ya ujerumani DW.
 
Kila la kheri Hamad, ingawaje sikupendi kabisa kwa unafiki. :A S embarassed:
 
Kweli kafulila awe katibt mkuu wake kwani yamewakumbusha pamoja
 
Wafuasi watakua familia yake na ya kafulia
 
hiyo tamaa kama aliwakataa chadema bungeni hicho chama kitakuwa chake mwenyewe na wa;;;;;;; wake
 
Islamic Salvation Party (ISP) Kafulila hajiungi hapo ng'o!
 
Siasa ni jinsi mtu anavozichanga na kuzicheza. Ngoja wanyukane ili walio makini wapete.Lakini EL alisema hapa namnukuu "NI BORA UFANYE MAAMUZI UKOSEE KULIKO KUTOKUFANYA MAAMUZI KABISA'" Kila la heri HR
 
Kuna tetesi kuwa mbunge wa wawia Mh HAMAD RASHID anategemea kuanzisha chama chake cha siasa kabla ya uchaguzi mkuu. Hii ni kutokana na kufukuzwa kwenye chama cha CUF na hivyo kukosa sifa za kugombea ubunge tena. Mwenye habari hizi au anayejua atujuze kwa kina.
 
Back
Top Bottom