mimi ntakua wa kwanza,nasubiri kupata taarifa rasmi,hiki kinaweza kuwa chama cha kidemokrasia cha kweli maana hamad rashid kutokana na sakata hili atakua amekomaa hatothubutu kuwa mbakaji wa demokrasia ndani ya chama na ntamueleza wazi sio lazima awe mwenyekiti yeye,baada ya kupata usajili aitishe uchaguzi wa ndani haraka na kila mwanachama awe huru kugombea,ntamsaidia kukifanya kiwe chama cha kupigiwa mfano kwa ukomavu wa demokrasia ya ndani ya chama...
hicho ndicho anachotafta...pole mdau...hii presha inatokana na kunyimwa vyeo cuf na pia kwenye seriikali ya umoja wa kitaifa huko znz...we humwoni alivokua ndumilakuwili baada ya uchaguzi kuisha??? think twice brother...
Uroho wa Madaraka utawamaliza viongozi wa upinzani pamoja na vyama vyao. Wanajali tu maslahi yao binafsi
me naamini wakikaa pamoja wale wote waliofukuzwa kwenye NGO'S za mwanzo wakapanga mikakati na kukubaliana wanaweza kuja na kitu imara sana kwani wamejifunza walikotoka.kina KAFULILA,wale MADIWANI wa arusha CHADEMA,HAMAD TAO NA JESSE MAKUNDI wa TLP,na wengine wote wwaliojeruhiwa pamoja na wazalendo waliopo ambao walikuwa hawajafanya maamuzi WAUNGANE NA WASIWE WABINAFSI.
Falsafa?
Katiba?
Chama kipya kinaitwa " Fufua Kafu"-FUKA.
Uroho wa Madaraka utawamaliza viongozi wa upinzani pamoja na vyama vyao. Wanajali tu maslahi yao binafsi
kaul yake alisema ataanzisha chama,
unadhan kuna Demokrasia,wakat ataanzisha?