Hamad Rashid kuanzisha chama kipya!

Kuna tetesi kuwa mbunge wa wawia Mh HAMAD RASHID anategemea kuanzisha chama chake chq siasa kablaya uchaguzi mkuu hii ni kutokana na kufukuzwa kwenye chama chq cuf na hivyo kukosa sifa za kugombea ubunge tena. mwenye habari hizi au anayejua atujuze kwa kina
Aanzishe Mara ya ngapi? ADC cha kwako ama?
 
Mbona hii ipo kitambo chama kishaanza chaitwa ADC juzi kulikuwa na mkutano wa CUF kule jimboni kwakwe wanachama wake wote wamerejesha kadi hadi ndugu zake baba mmoja mama mmoja wamechana bendera za ADC, Mwaka jana alileta milioni 10 jamaa wakazichangamkia wakaweka bendera ya ADC lakini hamadi alipopanda ndege tu kurudi Tanganyika bendera ikapachuliwa ikaekwa ya CUF.

Hamad Rashid hana mvuto tena kisiasa, mkakati uliopo ni kuendeleza hicho chama lakini sio kushika dola lengo ni kupunguza idadi ya wapiga kura wa CUF kule Zanzibar.
 
Lengo la Hamad Rashid ni ili apate madaraka na si kutetea wananchi kama anavyodai
Tatizo la watanzania hatuna kumbukumbu, tafuteni taarifa za Hamad Rashid Mohamed alipo kuwa naibu waziri pale wizara ya mambo ya ndani chini ya Maj Gen Kimario na Abdala Natepe.
Kama hamna hizo kumbukumbu nitafuteni.
 
Aliyekuwa mbunge wa Wawi ambaye jana amevuliwa uanachama wa CUF, Mh. Hamad Rashid Mohamed, ametangaza wazi kwamba anaanzisha chama kipya na amewataka wanachama wa CUF kurudisha kadi zao, na kwamba wawe tayari kujiunga na chama chake kipya kinachokuja muda si mrefu !

Source: Mlimani TV, Elimu Kwanza

Si tuliambiwa kuwa ni mwenyekiti wa ADC? Anataka kuanzisha kingine?
 
Kama walivyofanya ACT Tanzania kwa kujaribu kupunguza wafuasi wa chadema ili Ccm washinde kirahisi ndivyo hamad rashid anavyojaribu kufanya zanzibar.lengo lao ni kugawana wafuasi wa cuf ili ccm ishinde.kutokana na influence hamad rashid aliyokuwa nayo cuf alijua akiondoka lazima aondoke na kundi la wafuasi wa cuf na kwa kufanya hivyo angepunguza makali ya cuf zanzibar.kama anavyo jaribu kufanya MM wa chadema anayetarajiwa kwenda act tanzania.be blessed!
 
Back
Top Bottom