Hamad Rashid kuanzisha chama kipya!

Hamad Rashid kuanzisha chama kipya!

Mtoa mada ungeckiliza then ungetujuza,me nipo kwenye daladala,hyo dw ntaickiaje?
 
ckiliza taarifa ya dw

mkuu, wewe ndiyo umesikia hiyo habari instantly, sasa huoni sisi tukifungua hiyo dw kwa tutakuwa tumepitwa na hii habari,

or you need fee or upfront payment for this piece of info
 
Nimemsikia amesikia tutakijua kufikia mwezi Machi. Kwa hiyo tusubiri hadi Machi
 
He says that he is due to launch a new political party later on March this year in what seems to be as an attempt to weaken his former political side CUF. He also was critical of Seif Shariff Hamad and used same interview to accuse CUF top leaders of bias and lack of vision. The only thing a beleagured MP is not aware of is the fact that he has very little if any support among the Mainland citizens.
 
Nimemsikia akisema kuwa CUF kimepoteza mvuto na hasa upande wa Bara.
 
hivyo basi HR ameridhia kufutwa uanachama na kupoteza ubunge au yote yake
 
mkuu, wewe ndiyo umesikia hiyo habari instantly, sasa huoni sisi tukifungua hiyo dw kwa tutakuwa tumepitwa na hii habari,

or you need fee or upfront payment for this piece of info

Nimesikiliza.Kasema amekaa na wenzake wameamua kuanzisha chama kipya.Kasema kitawekwa hadharani mwezi March.Kadai chama cha CUF kwa Tanzania bara ni sawa na marehemu kwani hakina manufaa yeyote kwa watu wa bara.Pia kadai sasa hivi CUF imepasuka makundi mawili
 
Sasa yaaani hamad ndo mvuto hana kabisaaaaa yaaani kama muwa linaloota bafuni yaaani linene lakini halina utamu...ndo hamad sasa
 
Back
Top Bottom