ze kokuyo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 7,476
- 9,654
Nilikua natumia 4G lakini ilikua haifiki hyo spidi,kwenye hizo bar ikipanda sana ni 80Kb/sSidhani kama ni wao sababu japo sikuwa na kazi kubwa kwa jana ila speed hii ilinitosha ukizingatia pia bado nipo na chip ya 3G.
View attachment 1212820


huu daima