Halotel (Viettel) yaigomea Serikali ya Tanzania

Halotel (Viettel) yaigomea Serikali ya Tanzania

#WhatCanMagufuliDo# ndio tag ya sasa baada ya WhatWillMagufuliDo. Hii inahusu Lugumi, Mtibwa na sukari, Escrow mpya etc
 
Mara tu Baada ya kuingia madarakani serikali ya awamu ya tano ilisisitiza kuwa wageni wanaoruhusiwa kufanya kazi nchini ni wale tu ambao nafasi zao hazina wataalam wa kizalendo wanaoweza kufanya kazi za nafasi hizo.

Cha ajabu kwa kampuni ya mawasiliano ya Halotel (Viettel) sio tu kwamba asilimia kubwa ya raia wa kivietnam wanafanya kazi ambazo zinaweza kufanywa na watanzania, bali wengine hawana vibali vya kufanya kazi nchini, wale walio na vibali kazi wanazofanya ni tofauti na vibali vyao. lakini kubwa zaidi ni kwamba wengine vibali vyao vimeisha muda wake. Jambo hili ni wazi kampuni hii imegomea maagizo ya Serikali

Sasa ninapojiuliza maswali ni wapi serikali imeshindwa kusimamia maagizo yake. Hawa raia wa kigeni kutoka Vietnam wako kila mkoa ziliko Branches zetu, na mikoa hiyo inazo ofisi za uhamiaji sasa ni kwa nini agizo la serikali halitekelezwi !!!!!
Inawezekana taarifa zako ni sahihi, ila badala ya kuripoti wewe umechagiza Zaidi kiasi kwamba wachambuzi wa aina yetu tunaona kama kwamba taarifa yako imechagizwa na kukosa maslahi binafsi fulani, mfano kufukuzwa au kukosa (kazi) kuajiriwa na kampuni hiyo.
 
Waambieee waliopotigoo wamefanya
Waacheni wa Vietnam wafanye Kazi. Wabongo hatuna ozoefu sana sana tuende nje tukasomee turudi na kuomba Kazi. Longo Longo tuache hizi Kazi hatuzimudu uzoefu na elimu hatuna.
Nn jipyaaaa pamojaa nakusomeshwa nje akuna wanachofanya chaziadaaa
 
Mitanzania mijizi, mivivu, haifanyi kazi bila kusimamiwa na hata ikisimamiwa inafanya kazi 10% ya Mvietnan au Mhindi anaefanya kazi hiyo hiyo.

Mitanzania kama kazi haina "dili" aka kuiba kazini wanaona hiyo si kazi na bora waingie mitaani kuomba omba.
Niknnjnnnnnnnnbvfdcvh.

Nimesahau, Mitanzania miongo, mizandik, mifataani, michawi, mihasidi.

Warogeni sasa waondoke muachiwe shirika mliuwe.

Mlikuwa na shirika moja tu la simu zote, mmelifilisi limekuwa nyang'a nyang'a. Sasa mnajidai Ooh kazi hizo hizo tunaziweza.

Kazi mnazoweza Watanzania ni kamati za harusi na mazishi, ngoma, kulewa, kuzini, kuiba, kulewa na kujisifu kwa wizi.

Mfrghhhytuknamashuzi.
 
Za chuo kaka 3000 NA Vocha za bukuna miatano unapata Dk 150 SMS 300+ NA GB 1

AMA kama unabuku unataka GB wanakuunga NA kifur unakamata 1.5 GB KWA wiki...ukiweka salii nyongezayamda NA mb kwasana
 
Kitu ambacho ninaota ni kuwa halotel ni mradi wa CCM ambao unakusudiwa kuwa chanzo cha mapato kugharamia uchaguzi,na kuna kipindi karibia na uchaguzi Kinana alienda Vietnam kusaini mkataba.Kwahiyo ukiwa unakwangua vocha ujue hilo..
Hebu rudia tena
 
Well said japo umeongelea point moja tu ya mleta uzi - localisation of posts. Suala la vibali sijui unalisemeaje? Au kwa vile hawa jamaa ni 'mfano wa kuigwa' basi wanapata exemption ya kuwa na valid permits?

Mkuu nashukuru sana kwa hilo, sio kwamba nilisahau masuala ya localisation nililiacha for a reason, ni hivi: Kampuni ya HaloTel ndio imefungua shughuli zake nchini juzi juzi hapa - Kampuni haiwezi kufanya makosa ya kuajiri watu kwenye keypost mpaka wajiridhishe kwamba they're up 4 the job na sio kulocalise ili watimize wajibu wakifanya hivyo watakao haribikiwa ni wao, kumbuka hiyo si kampuni ya UMMA ambazo u-employ watu kwa kuangalia vyeti tu na wakati mwingine kwa kujuana! Sasa ukosefu wetu wa kutokuwa makini katika suala hilo nyeti ndio kulifanya viwanda vyetu/Mashirika ya UMMA kufa, HaloTel hawawezi kurudia makosa kama hayo.

Ni hivi: Waswahili ambao wataonyesha potential ya kupewa posts nyeti wakubali ku undergo on the job training mpaka mwajili ajilidhishe kwamba muhusika amewiva balabala hata ukimwachia nafasi ata deliver nchi za wenzetu ufanya hivyo nafikiri kampuni ya CocaCola nchini ufuata kanuni hizo ndio maana haiteteleki, hivyo tusitegemee HaloTel ambayo ni kampuni ya kiufundi zaidi iweze kufanya mambo ya kubahatisha ili iwalidhishe wazawa, tuwe wakweli atittude zetu katika uwajibikaji na ufanyaji kazi na wa kusikitisha sana, kwa watu tulio pata fulsa ya kusoma nje na kiishi huko ni rahisi kugundua kwa nini Wawekezaji wako very skeptical kuajiri Waswahili kwenye fani fulani fulani, sio utani nimewahi kuwahoji baadhi ya wahitimu wa vyuo vikuu, DIT na VETA nilicho gundua siwezi kukirudia hapa - mimi mswahili nilishtuka, je, wageni wanatuonaje.

Nawashaurini kuweni wasikivu mtajifunza mengi kutoka kwa mainjinia/wataalamu wa IT kutoka nje wenye uzoefu mkubwa lakini mkijifanya mna shahada za Master/PhD kwa hiyo wageni hawawezi kuwambia lolote, nasikitika kuwambia kwamba mkitanguliza hayo mbele hamtafika mbali.

Suala la kutoa vibali wahusika wakuu ni sekta ya uhamiaji sina shaka wapewa vigezo vya kuangalia wanapotoa vibali vya kuajili wageni.
 
Nimesema maelezo ya Bukyanagandi ameeleza vizuri lakini hajui undani wa TTCL.Fanya utafiti kwanza kabla ya kuongea usilolijua.
 
Na tushahama mitandao yenu mibovu speed kama konokono tupo huku tunakula raha
 
Halotel wanatuokoa sie wakulima huku vijijini.

Hebu wakae chini wamalizane na serikali.
Anayekuokoa huko kijijini ni mitambo iliyofungwa ambayo inaweza kuendeshwa na mtanzania.
 
Nimesahau, Mitanzania miongo, mizandik, mifataani, michawi, mihasidi.

Warogeni sasa waondoke muachiwe shirika mliuwe.

Mlikuwa na shirika moja tu la simu zote, mmelifilisi limekuwa nyang'a nyang'a. Sasa mnajidai Ooh kazi hizo hizo tunaziweza.

Kazi mnazoweza Watanzania ni kamati za harusi na mazishi, ngoma, kulewa, kuzini, kuiba, kulewa na kujisifu kwa wizi.

Mfrghhhytuknamashuzi.

Nimesahau, Mitanzania miongo, mizandik, mifataani, michawi, mihasidi.

Warogeni sasa waondoke muachiwe shirika mliuwe.

Mlikuwa na shirika moja tu la simu zote, mmelifilisi limekuwa nyang'a nyang'a. Sasa mnajidai Ooh kazi hizo hizo tunaziweza.

Kazi mnazoweza Watanzania ni kamati za harusi na mazishi, ngoma, kulewa, kuzini, kuiba, kulewa na kujisifu kwa wizi.

Mfrghhhytuknamashuzi.
Umesema kweli Faiza ,lets be serious
 
Ha ha ha ha....hapo kwenye ngoma hapo nadhani una utani na Mkwere wetu aliyetukuka.
Nimesahau, Mitanzania miongo, mizandik, mifataani, michawi, mihasidi.

Warogeni sasa waondoke muachiwe shirika mliuwe.

Mlikuwa na shirika moja tu la simu zote, mmelifilisi limekuwa nyang'a nyang'a. Sasa mnajidai Ooh kazi hizo hizo tunaziweza.

Kazi mnazoweza Watanzania ni kamati za harusi na mazishi, ngoma, kulewa, kuzini, kuiba, kulewa na kujisifu kwa wizi.

Mfrghhhytuknamashuzi.
 
MKUU, kwani shida ni ndogo - ni kubwa sana mkuu! Sasa sijui tatizo ni kutojiamini, mindset, kupenda penda matanuzi na vyeo - inasikitisha sana!

Jaribu kuwasikiliza mikakati yao ya kufufua viwanda sijui kujenga vipya, wanaonekana hawana strategy yoyote viwanda vipi vipewe kipaumbele kwanza - hii in hatari sana, ukiwasikiliza sana unakuwa na wasi wasi kama kuna litakalo tekelezwa kwa ufanisi - majigambo yamezidi mno hata Marshal plan ya kuijenga upya Ulaya baada ya vita vya pili haikuwa hivi - Dk.Magufuli awe makini sana hasa hasa kwa wale ambao wanaonekana wana majibu on their fingertips kuhusu ifufuaji wa viwanda vyetu - utasikia mengi mengine ambayo ni too good to be true which's TRUE, kaeni na Wachina ,WavietNam na Wathailand wasikilizeni walitumia strategy gani katika masuala ya viwanda vidogo na vikubwa.
Tupeni muda miaka 5 hivi sasa tunatumbua majipu tu mambo ya viwanda baadae
 
Wakati mwigine Watanzania tupunguze mambo ya fitina, HaloTel sio kampuni ya kufyatua matofari au kutengeneza fanicha ni Kampuni inayo deal na HiTech uwezi kuleta mambo ya ubabaishaji na half cooked experience tujifanye tunaweza ku-run kampuni ya Wavietnam ambayo ni mfano WA kuigwa ambayo hiko very efficient chini ya nwaka mmoja imetandaza optic fiber karibu nchi nzima imejenga minara na kuinstall vifaa vya mawasiliano in a record time na Wateja nchi nzima wanawasuliana kwa kutumia services/network yao.

Leo hii tunataka Wavietnam wa kampuni ya HaloTel watimuliwe ili waswahili warithi vyeo vyao, akili zetu zote zipo kuwaza vyeo tu sio kufanya kazi, kama tungekuwa na uwezo uliotukuka TTCL ndio ingekuwa inaongoza nchini kwa nyanja za mawasiliano, oh yes so hiko fully manned na wazawa? Twambie ni kitu gani kinacho endelea pale zaidi ya kulinda mkonga wa nawasiliano - ubunifu wa kibiashara kwa kujitanua kwenye voice sekta in mdogo sana wakati 4G ni all "IP" tekinolojia sasa tatizo liko wapi, Wavietnam si wanatumia vifaa vya mawasiliano wanavyo nunua Ulaya, China, Sweden nk Wavietnam hawahudi vifaa vya nawasiliano nchini mwao, je TTCL wanashindwa nini kununua vifaa hivyo kwenye open market wakafunga network ya kwao nchi nzima, WavietNam wameonyesha mfano, je, sisi Waswahili tumejifunza nini kutoka kwao wamewezaje ni sisi tunashindwa tunaishia kulalama tu ubunifu hatuna kabisa!!!

TTCL hiko mbioni kupunguza wafanyakazi, wanao baki wanata kujipangia mishahara mikubwa tu wakati uzalishaji wao in dismal kabisa - swali ni: tatizo lao ni nini? Jibu ni rahisi - tunafanya kazi kwa mazoea, sasa weakness zetu ndio mnataka kuzihamishia HaloTel - kwani tatizo liko wapi tujaribu kuwapeni keypost waswahili WA replace wa Vietnam tuje baada ya mwaka kuwa check mnavyo endesha HaloTel kama hatutakuta mnakwenda kuomba ruzuku Serikalini kuendeshea Kampuni, siwasemi vibaya - lakini haya si ndio tunaya shuhudia TTCL, kitu gani kinacho weza kutupa matumaini kwamba nyinyi mtakuwa tofauti na wenzenu baada ya kukabidhiwa HaloTel?
Huyu jamaa anaandika kiswahili cha wapi,na nadhani wewe utakua unanufaika sana na hawa jamaa,hivi zile optic fiber zao zimewekwa kwa standard inayotakiwa?au unaandika kulinda ugali wako mkuu?hivi unafahamu kuna maeneo fiber imechimbiwa hata kuku akipaa chini anaifukua?unafahamu namna waswahili walivyopokwa kazi zao ambazo nina amini 100% wanaziweza na hazihitaji wageni ila pale hali imekua tofauti?Watanzania tuache kutetea mambo ambayo yapo wazi sana,na alieandika hapa najua atakua yupo hapo au amepita hapo,na ni kweli tupu kwa hayo aloyaandika,kama wataamua kuvamia pale ni watakuta hayo aloyaandika na tena ni mengi zaidi ya hayo.
 
Nawapenda Hallotel network yao iko poa hadi vijijini tunapata H+
 
Back
Top Bottom