Wakati mwigine Watanzania tupunguze mambo ya fitina, HaloTel sio kampuni ya kufyatua matofari au kutengeneza fanicha ni Kampuni inayo deal na HiTech uwezi kuleta mambo ya ubabaishaji na half cooked experience tujifanye tunaweza ku-run kampuni ya Wavietnam ambayo ni mfano WA kuigwa ambayo hiko very efficient chini ya nwaka mmoja imetandaza optic fiber karibu nchi nzima imejenga minara na kuinstall vifaa vya mawasiliano in a record time na Wateja nchi nzima wanawasuliana kwa kutumia services/network yao.
Leo hii tunataka Wavietnam wa kampuni ya HaloTel watimuliwe ili waswahili warithi vyeo vyao, akili zetu zote zipo kuwaza vyeo tu sio kufanya kazi, kama tungekuwa na uwezo uliotukuka TTCL ndio ingekuwa inaongoza nchini kwa nyanja za mawasiliano, oh yes so hiko fully manned na wazawa? Twambie ni kitu gani kinacho endelea pale zaidi ya kulinda mkonga wa nawasiliano - ubunifu wa kibiashara kwa kujitanua kwenye voice sekta in mdogo sana wakati 4G ni all "IP" tekinolojia sasa tatizo liko wapi, Wavietnam si wanatumia vifaa vya mawasiliano wanavyo nunua Ulaya, China, Sweden nk Wavietnam hawahudi vifaa vya nawasiliano nchini mwao, je TTCL wanashindwa nini kununua vifaa hivyo kwenye open market wakafunga network ya kwao nchi nzima, WavietNam wameonyesha mfano, je, sisi Waswahili tumejifunza nini kutoka kwao wamewezaje ni sisi tunashindwa tunaishia kulalama tu ubunifu hatuna kabisa!!!
TTCL hiko mbioni kupunguza wafanyakazi, wanao baki wanata kujipangia mishahara mikubwa tu wakati uzalishaji wao in dismal kabisa - swali ni: tatizo lao ni nini? Jibu ni rahisi - tunafanya kazi kwa mazoea, sasa weakness zetu ndio mnataka kuzihamishia HaloTel - kwani tatizo liko wapi tujaribu kuwapeni keypost waswahili WA replace wa Vietnam tuje baada ya mwaka kuwa check mnavyo endesha HaloTel kama hatutakuta mnakwenda kuomba ruzuku Serikalini kuendeshea Kampuni, siwasemi vibaya - lakini haya si ndio tunaya shuhudia TTCL, kitu gani kinacho weza kutupa matumaini kwamba nyinyi mtakuwa tofauti na wenzenu baada ya kukabidhiwa HaloTel?