Mara tu Baada ya kuingia madarakani serikali ya awamu ya tano ilisisitiza kuwa wageni wanaoruhusiwa kufanya kazi nchini ni wale tu ambao nafasi zao hazina wataalam wa kizalendo wanaoweza kufanya kazi za nafasi hizo.
Cha ajabu kwa kampuni ya mawasiliano ya Halotel (Viettel) sio tu kwamba asilimia kubwa ya raia wa kivietnam wanafanya kazi ambazo zinaweza kufanywa na watanzania, bali wengine hawana vibali vya kufanya kazi nchini, wale walio na vibali kazi wanazofanya ni tofauti na vibali vyao. lakini kubwa zaidi ni kwamba wengine vibali vyao vimeisha muda wake. Jambo hili ni wazi kampuni hii imegomea maagizo ya Serikali
Sasa ninapojiuliza maswali ni wapi serikali imeshindwa kusimamia maagizo yake. Hawa raia wa kigeni kutoka Vietnam wako kila mkoa ziliko Branches zetu, na mikoa hiyo inazo ofisi za uhamiaji sasa ni kwa nini agizo la serikali halitekelezwi !!!!!