Halotel (Viettel) yaigomea Serikali ya Tanzania

Halotel bado tunawasikilizia....waimarishe network vijijini ndio kwenye shida zaidi
 
Huyu jamaa anaandika kiswahili cha wapi,na nadhani wewe utakua unanufaika sana na hawa jamaa,hivi zile optic fiber zao zimewekwa kwa standard inayotakiwa?au unaandika kulinda ugali wako mkuu?hivi unafahamu kuna maeneo fiber imechimbiwa hata kuku akipaa chini anaifukua?unafahamu namna waswahili walivyopokwa kazi zao ambazo nina amini 100% wanaziweza na hazihitaji wageni ila pale hali imekua tofauti?Watanzania tuache kutetea mambo ambayo yapo wazi sana,na alieandika hapa najua atakua yupo hapo au amepita hapo,na ni kweli tupu kwa hayo aloyaandika,kama wataamua kuvamia pale ni watakuta hayo aloyaandika na tena ni mengi zaidi ya hayo.
Mashirika mangapi mmeachiwa mmefilisi na kuyauwa? Mali za wenzenu Ndio zinawatoa roho waacheni wavietnam wapige mzigo
 
Mara tu Baada ya kuingia madarakani serikali ya awamu ya tano ilisisitiza kuwa wageni wanaoruhusiwa kufanya kazi nchini ni wale tu ambao nafasi zao hazina wataalam wa kizalendo wanaoweza kufanya kazi za nafasi hizo.

Cha ajabu kwa kampuni ya mawasiliano ya Halotel (Viettel) sio tu kwamba asilimia kubwa ya raia wa kivietnam wanafanya kazi ambazo zinaweza kufanywa na watanzania, bali wengine hawana vibali vya kufanya kazi nchini, wale walio na vibali kazi wanazofanya ni tofauti na vibali vyao. lakini kubwa zaidi ni kwamba wengine vibali vyao vimeisha muda wake. Jambo hili ni wazi kampuni hii imegomea maagizo ya Serikali

Sasa ninapojiuliza maswali ni wapi serikali imeshindwa kusimamia maagizo yake. Hawa raia wa kigeni kutoka Vietnam wako kila mkoa ziliko Branches zetu, na mikoa hiyo inazo ofisi za uhamiaji sasa ni kwa nini agizo la serikali halitekelezwi !!!!!
Mleta mada ni sawa na wale wshauri wa sukari waliompelekea habari za sukari, sasa tunaisoma namba!
Wewe unawezaje kujua mtu mwenye kibali na asiye nacho?
Kweli watanzania wataalam wapo ktk masuala ya mawasiliano ya simu? Basi na waende wakaifufue TTCL kwanza na sio Halotel, we dont need it kama tungeweza kujiendesha TTCL!
Hebu tuache hizi fitina ili tunufaishe matumbo yetu na tunasahau kabisa manufaa ya umma kwa ujumla wake!
 
watanzania wananga'ang'ania kazi hallotel wakati ttcl inajifia..

why msiombe kwenda kuifufua ttcl..

acheni usaniiiii???

unataka vyeo bila kuwajibika tu
 
Wakati mwigine Watanzania tupunguze mambo ya fitina, HaloTel sio kampuni ya kufyatua matofari au kutengeneza fanicha ni Kampuni inayo deal na HiTech uwezi kuleta mambo ya ubabaishaji na half cooked experience, tujifanye tuna uwezo wa ku-run kampuni ya Wavietnam ambayo ni mfano WA kuigwa, si hilo tu vile vile wako very efficient chini ya mwaka mmoja imetandaza optic fiber karibu nchi nzima, imejenga minara na kuinstall vifaa vya mawasiliano in a record time na Wateja nchi nzima wanawasiliana kwa kutumia services/network yao.

Leo hii tunataka Wavietnam wa kampuni ya HaloTel watimuliwe ili waswahili warithi vyeo vyao, akili zetu zote zipo kuwaza vyeo tu si kufanya kazi, kama Waswahili tungekuwa na uwezo uliotukuka TTCL ndio ingekuwa inaongoza nchini kwa nyanja za mawasiliano, oh yes si hiko fully manned na wazawa? Twambie ni kitu gani kinacho endelea pale zaidi ya kulinda mkonga wa nawasiliano na masuala ya kuwa Internet Service Provider - ubunifu wa kibiashara kwa kujitanua kwenye voice sekta in mdogo sana wakati 4G ni all "IP" tekinolojia, sasa tatizo liko wapi? Wavietnam si wanatumia vifaa vya mawasiliano wanavyo nunua Ulaya, China, Sweden nk Wavietnam hawahudi vifaa vya nawasiliano nchini mwao, je TTCL wanashindwa nini kununua vifaa hivyo kwenye open market wakafunga network ya kwao nchi nzima, WavietNam wameonyesha mfano, je, sisi Waswahili tumejifunza nini kutoka kwao! wamewezaje ni sisi tunashindwa tunaishia kulalama tu ubunifu hatuna kabisa!!!

TTCL hiko mbioni kupunguza wafanyakazi, wanao baki wanata kujipangia mishahara mikubwa tu wakati uzalishaji wao ni dismal kabisa, wanatangaza hasara tu - swali ni: tatizo lao ni nini? Jibu ni rahisi - tunafanya kazi kwa mazoea, sasa weakness zetu ndio mnataka kuzihamishia HaloTel - kwani tatizo liko wapi tujaribu kuwapeni keypost waswahili WA replace wa Vietnam tuje baada ya mwaka kuwa check mnavyo endesha HaloTel kama hatutakuta mnakwenda kuomba ruzuku Serikalini kuendeshea Kampuni, siwasemi vibaya - lakini haya si ndio tunaya shuhudia TTCL, kitu gani kinacho weza kutupa matumaini kwamba nyinyi mtakuwa tofauti na wenzenu baada ya kukabidhiwa HaloTel?
mkuu umefanya turning point ya huu mjadala.. nakuunga mkono 75%,
 
Mara tu Baada ya kuingia madarakani serikali ya awamu ya tano ilisisitiza kuwa wageni wanaoruhusiwa kufanya kazi nchini ni wale tu ambao nafasi zao hazina wataalam wa kizalendo wanaoweza kufanya kazi za nafasi hizo.

Cha ajabu kwa kampuni ya mawasiliano ya Halotel (Viettel) sio tu kwamba asilimia kubwa ya raia wa kivietnam wanafanya kazi ambazo zinaweza kufanywa na watanzania, bali wengine hawana vibali vya kufanya kazi nchini, wale walio na vibali kazi wanazofanya ni tofauti na vibali vyao. lakini kubwa zaidi ni kwamba wengine vibali vyao vimeisha muda wake. Jambo hili ni wazi kampuni hii imegomea maagizo ya Serikali

Sasa ninapojiuliza maswali ni wapi serikali imeshindwa kusimamia maagizo yake. Hawa raia wa kigeni kutoka Vietnam wako kila mkoa ziliko Branches zetu, na mikoa hiyo inazo ofisi za uhamiaji sasa ni kwa nini agizo la serikali halitekelezwi !!!!!

Wewe Mama Birigita, usiwaseme vibaya wawekezaji!
 
There is no turning point, Kama Vibali vimeisha na vingine vime expire then tuko pale pale!!!!!!!!
yapo makosa na figisu ndogo ndogo ila ki msingi halotel wamejitahidi na hatustahili kuwalaumu kwa serikali kushindwa kutimiza wajibu wake kuwatia mbaroni whoever anayeishi ama kufanya kazi kinyume na taratibu
 
Kweli kabisa mkuu mb wanagawa chache sana yani hakuna hata yenye unafuu
Njoo nikuuzie line ya halotel ya chuo, kuna bando kubwa za bei nafuu sana shilingi 1500 unapata 1gb per week unajiunga popote pale, mimi huwa natumia its fast and cheap
 
Ile kasi ilikuwa ni nguvu ya soda tu,niambie wawekezaji wangapi wametii ile amri au maelekezo? Hakuna kitu na sasa wanaweka ile auto pilot kila kitu kama zamani tu! Wanaogopa kuwagusa tena maana mfalme ameshasema wawekezaji wasiguswe! Mtu akiwagusa atawatumbua!
Mara tu Baada ya kuingia madarakani serikali ya awamu ya tano ilisisitiza kuwa wageni wanaoruhusiwa kufanya kazi nchini ni wale tu ambao nafasi zao hazina wataalam wa kizalendo wanaoweza kufanya kazi za nafasi hizo.

Cha ajabu kwa kampuni ya mawasiliano ya Halotel (Viettel) sio tu kwamba asilimia kubwa ya raia wa kivietnam wanafanya kazi ambazo zinaweza kufanywa na watanzania, bali wengine hawana vibali vya kufanya kazi nchini, wale walio na vibali kazi wanazofanya ni tofauti na vibali vyao. lakini kubwa zaidi ni kwamba wengine vibali vyao vimeisha muda wake. Jambo hili ni wazi kampuni hii imegomea maagizo ya Serikali

Sasa ninapojiuliza maswali ni wapi serikali imeshindwa kusimamia maagizo yake. Hawa raia wa kigeni kutoka Vietnam wako kila mkoa ziliko Branches zetu, na mikoa hiyo inazo ofisi za uhamiaji sasa ni kwa nini agizo la serikali halitekelezwi !!!!!
 
Wakati mwigine Watanzania tupunguze mambo ya fitina, HaloTel sio kampuni ya kufyatua matofari au kutengeneza fanicha ni Kampuni inayo deal na HiTech uwezi kuleta mambo ya ubabaishaji na half cooked experience, tujifanye tuna uwezo wa ku-run kampuni ya Wavietnam ambayo ni mfano WA kuigwa, si hilo tu vile vile wako very efficient chini ya mwaka mmoja imetandaza optic fiber karibu nchi nzima, imejenga minara na kuinstall vifaa vya mawasiliano in a record time na Wateja nchi nzima wanawasiliana kwa kutumia services/network yao.

Leo hii tunataka Wavietnam wa kampuni ya HaloTel watimuliwe ili waswahili warithi vyeo vyao, akili zetu zote zipo kuwaza vyeo tu si kufanya kazi, kama Waswahili tungekuwa na uwezo uliotukuka TTCL ndio ingekuwa inaongoza nchini kwa nyanja za mawasiliano, oh yes si hiko fully manned na wazawa? Twambie ni kitu gani kinacho endelea pale zaidi ya kulinda mkonga wa nawasiliano na masuala ya kuwa Internet Service Provider - ubunifu wa kibiashara kwa kujitanua kwenye voice sekta in mdogo sana wakati 4G ni all "IP" tekinolojia, sasa tatizo liko wapi? Wavietnam si wanatumia vifaa vya mawasiliano wanavyo nunua Ulaya, China, Sweden nk Wavietnam hawahudi vifaa vya nawasiliano nchini mwao, je TTCL wanashindwa nini kununua vifaa hivyo kwenye open market wakafunga network ya kwao nchi nzima, WavietNam wameonyesha mfano, je, sisi Waswahili tumejifunza nini kutoka kwao! wamewezaje ni sisi tunashindwa tunaishia kulalama tu ubunifu hatuna kabisa!!!

TTCL hiko mbioni kupunguza wafanyakazi, wanao baki wanata kujipangia mishahara mikubwa tu wakati uzalishaji wao ni dismal kabisa, wanatangaza hasara tu - swali ni: tatizo lao ni nini? Jibu ni rahisi - tunafanya kazi kwa mazoea, sasa weakness zetu ndio mnataka kuzihamishia HaloTel - kwani tatizo liko wapi tujaribu kuwapeni keypost waswahili WA replace wa Vietnam tuje baada ya mwaka kuwa check mnavyo endesha HaloTel kama hatutakuta mnakwenda kuomba ruzuku Serikalini kuendeshea Kampuni, siwasemi vibaya - lakini haya si ndio tunaya shuhudia TTCL, kitu gani kinacho weza kutupa matumaini kwamba nyinyi mtakuwa tofauti na wenzenu baada ya kukabidhiwa HaloTel?
TTCL imeuawa na viongozi wa nchi hii hasa awamu ya tatu.
 
Mkuu inawezekana awamu ya tatu nayo ilichangia, lakini kumbuka viongozi hao hawana taaluma yoyote kwenye masuala ya mawasiliano.

Narudia kusema wahujumu wa TTCL walikuwa ni wafanya kazi wenyewe - wafanyakazi na maanisha viongozi wa ngazi za juu - wale walikuwa hawafai kabisa, shirika lilikuwa hoe hae walirubuniwa na Wachina waka install technolojia ya njia ya simu za mikononi ambayo siyo popular wakapuuzia teknolojia/mfumo wa GSM, sio kwamba walikuwa awajui hujuma wanazo lifanyia Taifa letu - walijua sana wao walikuwa interested kupiga hela ndefu wakishirikiana na Wachina - matokeo yake simu zao zikakosa soko Serikali ikala hasara!

Wateja hawakutaka mfumo/simu ambazo nyingi hazitumii sim card na chache zao zenye sim card siyo portable yaani uwezi kuweka sim cards za mitandao mingine zikafanya kazi - sasa ni mteja gani anataka kufungwa mikono na mtandao mmoja tu!!!

Kumbuka TTCL ilifunga mitambo ya mfumo wa CDMA mapema kwa kabla ya Vodacom na Airtel hazija ingia nchini - kama TTCL ingefunga mfumo wa GSM tangu mwanzo wangekuwa mbali sana kimawasiliano - lakini kupenda penda kwao kupindisha mambo na rushwa ndio kumewafikisha hapo wakajikuta wamekwama kila kona.

Tuwe wakweli TTCL wako nyuma kimawasiliano na ni aibu tupu sijui Wachina wasingeweka mkonga wangekuwa na shughuli gani. Hivyo mkuu tusilahumu Serikali ya awamu ya TATU, wakulaumiwa ni CEO wa TTCL na mainjinia wa wakati huo kwa kukosa kwao ubunifu na kufanya hujuma za kununua mifumo ya mawasiliano ambayo haitumiki sana Duniani - actually walio husika katika ununuzi huo wa kitapeli, Serikali ilipashwa kuwaburuza mahakamani kwa kusababisha hasara kwa Taifa letu.

Hivi sasa tunaweza kuwa na matumaini na CEO mpya, naona anajitahidi kuifanyia mabadiriko makubwa TTCL kiufundi/mawasiliano amejitahidi kununua vifaa vya mawasiliano vya kisasa - jamaa huyu anaona mbali na atafanikiwa eventually, namtakia kila la kheri.
 
Mara tu Baada ya kuingia madarakani serikali ya awamu ya tano ilisisitiza kuwa wageni wanaoruhusiwa kufanya kazi nchini ni wale tu ambao nafasi zao hazina wataalam wa kizalendo wanaoweza kufanya kazi za nafasi hizo.

Cha ajabu kwa kampuni ya mawasiliano ya Halotel (Viettel) sio tu kwamba asilimia kubwa ya raia wa kivietnam wanafanya kazi ambazo zinaweza kufanywa na watanzania, bali wengine hawana vibali vya kufanya kazi nchini, wale walio na vibali kazi wanazofanya ni tofauti na vibali vyao. lakini kubwa zaidi ni kwamba wengine vibali vyao vimeisha muda wake. Jambo hili ni wazi kampuni hii imegomea maagizo ya Serikali

Sasa ninapojiuliza maswali ni wapi serikali imeshindwa kusimamia maagizo yake. Hawa raia wa kigeni kutoka Vietnam wako kila mkoa ziliko Branches zetu, na mikoa hiyo inazo ofisi za uhamiaji sasa ni kwa nini agizo la serikali halitekelezwi !!!!!
Huu ni uzembe kazini, naona mnabanwa na wavetnam sasa mnaleta proganda, fanyeni kazi acheni majungu
 
Wakati mwigine Watanzania tupunguze mambo ya fitina, HaloTel sio kampuni ya kufyatua matofari au kutengeneza fanicha ni Kampuni inayo deal na HiTech uwezi kuleta mambo ya ubabaishaji na half cooked experience, tujifanye tuna uwezo wa ku-run kampuni ya Wavietnam ambayo ni mfano WA kuigwa, si hilo tu vile vile wako very efficient chini ya mwaka mmoja imetandaza optic fiber karibu nchi nzima, imejenga minara na kuinstall vifaa vya mawasiliano in a record time na Wateja nchi nzima wanawasiliana kwa kutumia services/network yao.

Leo hii tunataka Wavietnam wa kampuni ya HaloTel watimuliwe ili waswahili warithi vyeo vyao, akili zetu zote zipo kuwaza vyeo tu si kufanya kazi, kama Waswahili tungekuwa na uwezo uliotukuka TTCL ndio ingekuwa inaongoza nchini kwa nyanja za mawasiliano, oh yes si hiko fully manned na wazawa? Twambie ni kitu gani kinacho endelea pale zaidi ya kulinda mkonga wa nawasiliano na masuala ya kuwa Internet Service Provider - ubunifu wa kibiashara kwa kujitanua kwenye voice sekta in mdogo sana wakati 4G ni all "IP" tekinolojia, sasa tatizo liko wapi? Wavietnam si wanatumia vifaa vya mawasiliano wanavyo nunua Ulaya, China, Sweden nk Wavietnam hawahudi vifaa vya nawasiliano nchini mwao, je TTCL wanashindwa nini kununua vifaa hivyo kwenye open market wakafunga network ya kwao nchi nzima, WavietNam wameonyesha mfano, je, sisi Waswahili tumejifunza nini kutoka kwao! wamewezaje ni sisi tunashindwa tunaishia kulalama tu ubunifu hatuna kabisa!!!

TTCL hiko mbioni kupunguza wafanyakazi, wanao baki wanata kujipangia mishahara mikubwa tu wakati uzalishaji wao ni dismal kabisa, wanatangaza hasara tu - swali ni: tatizo lao ni nini? Jibu ni rahisi - tunafanya kazi kwa mazoea, sasa weakness zetu ndio mnataka kuzihamishia HaloTel - kwani tatizo liko wapi tujaribu kuwapeni keypost waswahili WA replace wa Vietnam tuje baada ya mwaka kuwa check mnavyo endesha HaloTel kama hatutakuta mnakwenda kuomba ruzuku Serikalini kuendeshea Kampuni, siwasemi vibaya - lakini haya si ndio tunaya shuhudia TTCL, kitu gani kinacho weza kutupa matumaini kwamba nyinyi mtakuwa tofauti na
wenzenu baada ya kukabidhiwa HaloTel?[
/QUOTE]

Loohh! Umeongea kww hasira sana.
Unafikiri ni mbinu gani zitumike kuwafanya watanzania wabadilike na wapi tulikosea mpaka tumefikia hapa tulipo.
Kwa sababu mimi ninaamini Tabia hizi za watanzania zitakuwa zimesababishwa na sababu fulani fulani ambazo zimetufanya kuwa watu tusioweza kujisimamia wenyewe?
 
HALOTEL YAIGOMEA SERIKALI YA TANZANIA

Kuingia ndani kusoma sicho nilichodhan kipo, anyway, ni aina ya uandishi
 
kama wanahusiana na CCM , basi tena nimekatashauri la kutokujiunga nao...!

Immigration fanyeni kazi yenu. Sio HALOTEL, tu makampuni mengi, wameajiri wageni bila kufuata taratibu... Na mara jingi utakuta mtu anakidiploma kutoka huko kwao, hapa anaitwa expert ili kukidhi vigezo vya kupata work permit! Wakiingia maofisini kazi yao kubugudhi wazawa!

Ifike sehemu serikali iyaone haya.

Mwisho, watanzania tuchape kazi tuache porojo maofisini, ndio maana tunaletewa wageni, coz tunaonekana hatupo serious na kazi..!
Umeongea point ila kwenye kua expect sio kua na degrees au masters ila ni kubobea kitu fulani yani kwa wenzetu wana kozi za kitaalamu ukipiga izo ndo unakua expert wa jambo ilo aijalishi una diploma au certificate kama imekukela ilo na kuona sio sahihi bali sio sawa
 
Back
Top Bottom