Halotel university bundles ni tatizo

Wilhelm Johnny

JF-Expert Member
Jan 13, 2016
1,364
1,315
Halotel vifurushi vya University Internet yake majanga
1f2b8f6e4c5ad8c2a4d0901830c4fe4a.jpg
 
Dsm mie we wapi? Kuna jamaa alikuwa lindi ndanindani huko saiv kwa halotel unamtwangia kama kawa zaman mpka uende kijiji jirani na ilee mitandao yenu
huyo jamaa wa lindi huko ndanindani ana line ya mwanachuo? soma vizuri uzi
 
Ni kweli naona wamevuraga kweli nimejaribu hizi Bando...Hakuna speed ya kuridhisha
Kwa university offer voda wako vizuri kuliko hawa jamaa.
 
Ni kweli naona wamevuraga kweli nimejaribu hizi Bando...Hakuna speed ya kuridhisha
Kwa university offer voda wako vizuri kuliko hawa jamaa.
Kwa speed labda..ila ktk vifurushi vyao vya chuo hawana cha wiki,i think airtel nimewakubali kwa utaratibu wao wa vifurushi vya chuo na data pia wanatoa angalau ya kutosha.
 
Kwa speed labda..ila ktk vifurushi vyao vya chuo hawana cha wiki,i think airtel nimewakubali kwa utaratibu wao wa vifurushi vya chuo na data pia wanatoa angalau ya kutosha.
Naomba unielekeze jinsi ya kujiunga kifurushi cha chuo airtel.

Nipo dar natumia halotel university offer ipo speed sana.
Na simu zao zipo poa pia naona kesho tar.29 kuna punguzo kubwa la bei.
 
Mie niko kahama wako vzr internet iko fasta labda kwa hivyo vifurushi vya chuo sijui
 
Back
Top Bottom