Halotel university bundles ni tatizo

Halotel university bundles ni tatizo

mwl. mziray said:
Naomba unielekeze jinsi ya kujiunga kifurushi cha chuo airtel.

Nipo dar natumia halotel university offer ipo speed sana.
Na simu zao zipo poa pia naona kesho tar.29 kuna punguzo kubwa la bei.
Airtel wao wana vocha maalum za kifurushi cha chuo,Mara nyingi zinapatikana katika maduka ya karibu au ndani ya vyuo,uzuri ni ukinunua hiyo vocha unajiunga sehemu yoyote sio lazima uwe katika mnara ulio katika eneo la chuo,vocha ya 600 ina 1.2 GB for 48hrs
 
Kama kigezo cha kupata line wanayoiita ya chuo ni kuwa na kitambulisho cha chuo...ni vizuri

Hii loophole nadhani wabongo wataitumia vizuri,
 
Kwa speed labda..ila ktk vifurushi vyao vya chuo hawana cha wiki,i think airtel nimewakubali kwa utaratibu wao wa vifurushi vya chuo na data pia wanatoa angalau ya kutosha.
Mkuu, Airtel vifurushi vyao vipoje?
 
Airtel wao wana vocha maalum za kifurushi cha chuo,Mara nyingi zinapatikana katika maduka ya karibu au ndani ya vyuo,uzuri ni ukinunua hiyo vocha unajiunga sehemu yoyote sio lazima uwe katika mnara ulio katika eneo la chuo,vocha ya 600 ina 1.2 GB for 48hrs
Na kwa wiki sh.ngapi?
 
Kama kigezo cha kupata line wanayoiita ya chuo ni kuwa na kitambulisho cha chuo...ni vizuri

Hii loophole nadhani wabongo wataitumia vizuri,
Anaenipa line ni wakala wao au ni nani? Na kama nikitaka kuchingesha namba ambayo moja kwa moja itakuwa imeunganishwa na hiyo offer itawezekana?
 
Kwa speed labda..ila ktk vifurushi vyao vya chuo hawana cha wiki,i think airtel nimewakubali kwa utaratibu wao wa vifurushi vya chuo na data pia wanatoa angalau ya kutosha.

Vifurushi vya airtel vya chuo viko vipi? Nipe menu yao
 
hayo ndiyo matatizo ya copy and paste ya vifurushi kutoka kwenye mtandao mwingine.
 
Dsm mie we wapi? Kuna jamaa alikuwa lindi ndanindani huko saiv kwa halotel unamtwangia kama kawa zaman mpka uende kijiji jirani na ilee mitandao yenu
Mimi niko Moshi mjini.... Kilimanjaro
 
Ndio wako vizuri xana kwa vile vifurushi vyao vya kawaida ila hapa kwa vifurushi vya University mhh wako slow

Hujanielewa mimi natumia kifurushi cha chuo na ndicho amabacho nakwambia ni hatari kwa kasi. Gap la chuo lipo natumiaje sasa cha kawaida!? Waswahili hatuachagi gap, yaani hadi mama angu anatumia kifurushi cha chuo. Ahahaha!
 
Mhh.... Wew upo mkoa gani.....???
 
a137f52334bd0fac54b836d7aad3f32e.jpg
 
tigo na halotel wana line za chuo, jisajili na kitambulisho cha chuo then utajiunga popote, airtel nao wana vocha za chuo nenda chuoni kazinunue hata za laki 1 rudi nyumbani tumia taratibu.
Tigo unajisajili wapi?
 
Back
Top Bottom