Kaitamarogo 23
Member
- Jan 27, 2023
- 45
- 251
Kwa kweli nimeshawapigia halotel mara nyingi ukijiunga gb 1.5 baaada ya nusu saa wanakuambia umetumia 75% ya bundle lako ndani tu ya dakika 2 mbs zote zimeisha
Pole🙏🙃Kwa kweli nimeshawapigia halotel mara nyingi ukijiunga gb 1.5 baaada ya nusu saa wanakuambia umetumia 75% ya bundle lako ndani tu ya dakika 2 mbs zote zimeisha
bora tu unyamazeMuda mwingine makampuni ya simu mnawapa lawama za Bure, ukute iPhone Yako Kuna app kibao zinaji update na kurun kwenye background, bando likiisha mnaanza lawama
Mimi pia ni mtumiaji wa Halotel ila hili sijaliona kwangu. Labda wanaangalia ntu na ntu 😁Nimelisikia sana hili toka kwa ndugu yangu
Nikinyamaza hata mawe yatasema 😁bora tu unyamaze
HUJUI NYAMAZA! ... MWIZI SIO HALOTEL BALI NI WAHUDUMU WANAOUZA VIFURUSHI VYA 'DATA' KWA MAGENDO! 😠Kwamba Halotel wakuibie 1.5Gb zako serious? Hawana dhiki kiasi hicho, angalia settings za simu yako tu especially background data usage
Huu uongo alikufunza nani?Siku hizi Hata WhatsApp Status zinakula MB KULIKO TikTok au Instagram
Sio kweli NamhalaHUJUI NYAMAZA! ... MWIZI SIO HALOTEL BALI NI WAHUDUMU WANAOUZA VIFURUSHI VYA 'DATA' KWA MAGENDO! 😠
HayaHUJUI NYAMAZA! ... MWIZI SIO HALOTEL BALI NI WAHUDUMU WANAOUZA VIFURUSHI VYA 'DATA' KWA MAGENDO! 😠