shabani kandege
Member
- Jan 25, 2014
- 45
- 14
Hahahaa wakukomoe zaid kutotumia tigo yao nn [emoji12] [emoji12] [emoji12]Na halotel wakizungua, tutawahama kama tunavyowahama tigo.
Nilistuka jana niliponunua univeristy offer ya tigo, nikikuta 500MB badala ya 1GB, dakika 80 tigo-tigo badala ya dakika 130 tigo-tigo na SMS 500 badala ya SMS bila kikomo. nikimaliza kiffurushi chao, natunza laini yao ili wawe wamenikomoa vizuri kwa kutotumia tigo.