Halotel kuna unafuu baada ya Tigo kuleta uhuni university Offer

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
43,394
81,239
Kuna ka unafuu kuliko Tigo wapuuzi!
upload_2017-3-28_20-8-59.png
 
tigo wameleta uhuni nilikuwa nawategemea sana wakasaliti ila hata hawa Halotel nao watakuja kugeuka tu haya makampuni hayaaminiki....
Na halotel wakizungua, tutawahama kama tunavyowahama tigo.
Nilistuka jana niliponunua univeristy offer ya tigo, nikikuta 500MB badala ya 1GB, dakika 80 tigo-tigo badala ya dakika 130 tigo-tigo na SMS 500 badala ya SMS bila kikomo. nikimaliza kiffurushi chao, natunza laini yao ili wawe wamenikomoa vizuri kwa kutotumia tigo.
 
Tgo wako pouwa sn mbn university vpooo
Mara ya mwisho ulijnga lni?
It was like that
1500..130 min, unlimited sms, GB1
then 1500 Tsh... 100 min, 500 sms, 700MB... kama siku10 iliyopita
then 1500 Tsh...80 min, 500 sms 500 MB... kama siku 7 zilizopita
within a spate of 3 days walishuka mpaka hapo pa 80 min
 
Mara ya mwisho ulijnga lni?
It was like that
1500..130 min, unlimited sms, GB1
then 1500 Tsh... 100 min, 500 sms, 700MB... kama siku10 iliyopita
then 1500 Tsh...80 min, 500 sms 500 MB... kama siku 7 zilizopita
within a spate of 3 days walishuka mpaka hapo pa 80 min
Sure!! Halafu walivyo wajeuri hawatoi hata sababu!!
 
Back
Top Bottom