Niwaheri
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 3,600
- 5,734
Katika pita pita zangu kuna jambo nimeliona japo kwangu nimelichukulia kwa sura tofauti kidogo hasa kiutendaji
Juzi nilibatika kufika halmashauri moja inaitwa mji wa mbulu huko manyara.
katika kufatilia baadhi ya mambo niliambiwa kuanzia RC,DC,DED,SLO,AFISA ELIMU wote ni wanawake.
naombeni wazoefu wa masuala ya uongozi na hii halmashauri je mambo yanaenda vizuri au kuwepo kwa huo mlolongo kuna impact yoyote kiutendaji?
Nipo hapa kujifunza