Halmashauri kuongozwa na wanawake tu

Halmashauri kuongozwa na wanawake tu

Katika pita pita zangu kuna jambo nimeliona japo kwangu nimelichukulia kwa sura tofauti kidogo hasa kiutendaji
Juzi nilibatika kufika halmashauri moja inaitwa mji wa mbulu huko manyara.

katika kufatilia baadhi ya mambo niliambiwa kuanzia RC,DC,DED,SLO,AFISA ELIMU wote ni wanawake.
naombeni wazoefu wa masuala ya uongozi na hii halmashauri je mambo yanaenda vizuri au kuwepo kwa huo mlolongo kuna impact yoyote kiutendaji?

Nipo hapa kujifunza
Hata ma-RPC wanawake wamo wengi pia
 
Kipindi cha mwendazake ulikuta wakuu wote ni kabila moja. Yaan DC, DED, OCD, DSO, Takukuru, katibu wa ccm, na wakuu wengine wa idara DHRO, DEO,
 
Katika pita pita zangu kuna jambo nimeliona japo kwangu nimelichukulia kwa sura tofauti kidogo hasa kiutendaji
Juzi nilibatika kufika halmashauri moja inaitwa mji wa mbulu huko manyara.

katika kufatilia baadhi ya mambo niliambiwa kuanzia RC,DC,DED,SLO,AFISA ELIMU wote ni wanawake.
naombeni wazoefu wa masuala ya uongozi na hii halmashauri je mambo yanaenda vizuri au kuwepo kwa huo mlolongo kuna impact yoyote kiutendaji?

Nipo hapa kujifunza
RC na DC siyo viongozi wa Halmashauri. Hapo kuna DED na Afisa Elimu tu ndio viongozi. SLO yuko chini ya Afisa Elimu so siyo kiongozi. Kama hao tu ndio viongozi katika kikao cha menejimenti wakuu wa Idara wanaume basi ni wengi (DHRO, DPLO, DT, HPMU, DEO (secondary au msingi kama mmoja ni mwanamke) TEHAMA, DMO, UCHAGUZI, MAENDELEO YA JAMII, TASAF, BIASHARA, MAZINGIRA, SHERIA, DAS nk so maamuzi mengi ni ya Wanaume
 
Utadhani unafanyia kazi Moshi Manispaa.
Municipal Director - Mwanamke
DEO secondary - Mwanamke
SLO secondary - Mwanamke
DEO msingi- Mwanamke
SLO Msingi - Mwanamke
Mtaaluma Msingi wako watatu - Wanawake.
Sasa Cha kushangaza, mambo hayaendi hata kidogo.
 
Wilaya ya Biharamulo nayo ni hivyo hivyo kuanzia mkuu wa wilaya mpaka wakuu wa idara zote
 
kwanini mambo hayaendi mkuu, milele amina ? wakati wanawake hawana mambo mengi tofauti na wanaume.
 
Wilaya ya Biharamulo nayo ni hivyo hivyo kuanzia mkuu wa wilaya mpaka wakuu wa idara zote
Mmh, kwani mkurugenzi wa halmashauri ya biharamulo ni ke? Mbona mi nilisikia ni me?

Pia mkuu wa uhamiaji ni me...hivyo sio wote
 
Back
Top Bottom