Mwenyekiti wa BAWACHA Mhe. Halima Mdee muda huu wako kwenye meli ya kuelekea Ukerewe watakapokuwa na mkutano mkubwa ni kwenye operesheni FUTA DELETE kabisa CCM 2014/2015.
Kiongozi huyo wa kitaifa anaambatana na makamu mwenyekiti Hawa Mwaifunga na katibu mkuu BAWACHA Grace Tedega naibu katibu Kunti Yusuph na makamanda wengine.
UPDATES
Kamanda Halima ndiyo anaingia uwanja wa Nansio tayari kupanda jukwani amembatana na mbunge wa ukerewe Salvatory Machemli
UPDATES 2
Mkiti wa cdm mkoa wa mwanza Adrian Tizeba anasema bila kuwashinda ccm kwenye serikali za mitaa safari ya ikulu itakuwa ngumu...
Katibu mwenezi bavicha simbeye anasema ukiona kijana wa umri wake yuko ccm akizeeka atakuwa mchawi
Mabalozi wa ccm wanatumika kama makarai ya zege kwani wanapewa buku tano ya kurubuni ndugu zao leo baada ya hapo magamba yanaenda Dodoma hayarudi mpaka baada ya miaka mitano
View attachment 194942Kunti Yusuph