Halima Mdee na team yake ndani ya Ukerewe

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,760
Mwenyekiti wa BAWACHA Mhe. Halima Mdee muda huu wako kwenye meli ya kuelekea Ukerewe watakapokuwa na mkutano mkubwa ni kwenye operesheni FUTA DELETE kabisa CCM 2014/2015.

Kiongozi huyo wa kitaifa anaambatana na makamu mwenyekiti Hawa Mwaifunga na katibu mkuu BAWACHA Grace Tedega naibu katibu Kunti Yusuph na makamanda wengine.
View attachment 194913
View attachment 194914Viongozi wa BAWACHA wakipokewa ukerewe...

UPDATES

Kamanda Halima ndiyo anaingia uwanja wa Nansio tayari kupanda jukwani amembatana na mbunge wa ukerewe Salvatory Machemli

UPDATES 2

Mkiti wa cdm mkoa wa mwanza Adrian Tizeba anasema bila kuwashinda ccm kwenye serikali za mitaa safari ya ikulu itakuwa ngumu...

Katibu mwenezi bavicha simbeye anasema ukiona kijana wa umri wake yuko ccm akizeeka atakuwa mchawi

Mabalozi wa ccm wanatumika kama makarai ya zege kwani wanapewa buku tano ya kurubuni ndugu zao leo baada ya hapo magamba yanaenda Dodoma hayarudi mpaka baada ya miaka mitano
IMG-20141020-WA0038.jpg Kunti Yusuph
attachment.php
 
Maccm yanachanganyikiwa sana, yakisikia habari hizi.

Go on Mdee,

Sambaza elimu watatambua tu badae.
 
Wakerewe ni watu wanaopenda Mageuzi, kwa team hiyo wa Halima Mdee CCM itafutika kabisa Ukerewe.

Pamoja na data za NEC kutoaminika mwaka 1995 Mrema (NCCR) alipata kura nyingi za Urais Ukerewe kuliko mgombea wa CCM Benjamin Mkapa.

Mwaka 2010 Dr. Slaa CHADEMA alipata kura nyingi za Urais kuliko mgombea wa CCM Jakaya Kikwete.

Team Mdee wakumbusheni facts hizi nzuri Wakerewe kwa kazi kubwa wanayofanya ku-support upinzani.
 
Sipati picha uko Nyumbani Nasio,Murutungulu,wanavyomsubili kwa hamu sana.
 
Ahsante Kikwete kwa kufanya upinzani usitawi. Ahsante 6 kwa kuchakachua katiba na kuongeza hasira kwa watanzania kuichukia ccm. Bravo UKAWA!
 
Mwenyekiti wa BAWACHA Mhe. Halima Mdee muda huu wako kwenye meli ya kuelekea Ukerewe watakapokuwa na mkutano mkubwa ni kwenye operesheni FUTA DELETE kabisa CCM 2014/2015.

Kiongozi huyo wa kitaifa anaambatana na makamu mwenyekiti Hawa Mwaifunga na katibu mkuu BAWACHA Grace Tedega naibu katibu Kunti Yusuph na makamanda wengine.

Nauliza hiviii ukawa kwa bongo watakuja lini japo ni mjini lakini huku ndio kuna vilaza kuliko hata tunavyofikiria bora mkoani wana mwamko kuliko huku mjini ni janga la mapinduzi.
 
Safi sanaaaa,kwa asiyejua akaangalie video ya juzi wakati wakiwa Mz mjini atautambua mziki wa Chadema ..ccm wanajiharishia tu
 
Naskia kesho watakuwa mitaa ya home MAGU, Napenda kuwakaribisha sana pamoja na kwamba sitakuwepo lakini nimetoa gari yangu kwa ajili ya kuwapokea hapo Masanza.VIVA CDM
 
Hongera kwa kujitolea,lazima ccm ife
 
Mwenyekiti wa BAWACHA Mhe. Halima Mdee muda huu wako kwenye meli ya kuelekea Ukerewe watakapokuwa na mkutano mkubwa ni kwenye operesheni FUTA DELETE kabisa CCM 2014/2015.

Kiongozi huyo wa kitaifa anaambatana na makamu mwenyekiti Hawa Mwaifunga na katibu mkuu BAWACHA Grace Tedega naibu katibu Kunti Yusuph na makamanda wengine.

Big up makamanda huko ukerewe mtupatie update baada ya kuanza mkutano
 
Tunakukubali kamanda Mdee - ongoza jahazi - Mwanamke na Kijana ndiyo kiini cha mabadiliko.

Wembe ni ule ule - Pamoja saana!!!
 
Mwenyekiti wa BAWACHA Mhe. Halima Mdee muda huu wako kwenye meli ya kuelekea Ukerewe watakapokuwa na mkutano mkubwa ni kwenye operesheni FUTA DELETE kabisa CCM 2014/2015.

Kiongozi huyo wa kitaifa anaambatana na makamu mwenyekiti Hawa Mwaifunga na katibu mkuu BAWACHA Grace Tedega naibu katibu Kunti Yusuph na makamanda wengine.

Dada huyu anafanya kazi kubwa,ambayo mwl nyerere aliwahi kusema,kiongozi anayejali na kuwiwa au kuumwa na shida za watanzania,ataona ni heri kutoa mali, akili,nguvu na muda wake kuwatumikia wananchi wake.Mdee hana tofauti na mama sonia Ghandhi au mama Rosevert.
 
Nauliza hiviii ukawa kwa bongo watakuja lini japo ni mjini lakini huku ndio kuna vilaza kuliko hata tunavyofikiria bora mkoani wana mwamko kuliko huku mjini ni janga la mapinduzi.

Tar 26 mwezi huu mkuu......
 
Mwezi umeshaisha hawa wanawake hawajarudi majumbani kwao kuangalia familia. Au hawana familia?
 
FUTA DELETE KABISA CCM NCHI NZIMA .tutafanikiwa uwezo wa Mungu ccm muda wa kuendelea kutawala umeisha
 
Back
Top Bottom