Halima Mdee na team yake ndani ya Ukerewe

Halima Mdee na team yake ndani ya Ukerewe

Hapa ni yeeeeeeeesssss mwanzo mwisho.....ita magamba lakini sisi tunakujua mzee wa magwanda....utayavaa sana...lakini katu hutakuwa na hoja za kuwashawishi wapiga kura....
laiza mtoto wa magamba MaCCM, unadhani ni familia ngapi za Watanzania wenye TV!!
Na waangalie , magamba na wake wabebana na kucheza kiduku???
Katiba gani ya mafisadi Chenge na Sita???
Hapo ni Noooooooooooo!!
Hadi mwisho!!
 
Back
Top Bottom