Halima Mdee na team yake ndani ya Ukerewe

Halima Mdee na team yake ndani ya Ukerewe

Hujatuambia alipokuwa mwanza kahutubia mamia au maelfu ya watu...lakini kwenye gazeti lenu tumesoma kuwa kahutubia maia ya watu....(kiduchu) tafsiri kwamba wamem-mbedya....wameona hana jipya zaidi ya kula ruzuku ya chama chake tu....Amejaribu kuwadanganya watanzania kuwa mchakato wa katiba utarudiwa upya....sijui atatoa yeye hayo mabilioni ya kuurudia huo mchakato.....amesahau kuwa mwanza walikuwa na mwakilishi au wawakilishi ndani ya bunge maalum na walikuwa wanawapa taarifa ya maendeleo ya mchakato wa katiba...anadhani watu wote hawana luninga hivyo itakuwa rahisi kuwadanganya kumbe watu walikuwa wanaangalia bunge mwanzo mwisho na wana akili kama mbayuwayu.....hawashiki akili ya kuambiwa....

Mbona unaweweseka sana? CDM NA MWANZA sawa samaki na maji,uwanja wa furahisha ulitapika.Cha Msingi Ni Kuikataa hii katiba ya kifisadi ili kutoa mwanya wa katiba ya wananchi kujadiliwa na kupatikana sio siku nyingi! Hatuwezi kuhalalisha haramu eti kisa pesa nyingi zimetumika.
 
Ki ukweli ukimtoa Marehemu Bib Titi Mohamed hapajawai kutokea mwanamke yoyote aliyewai kufanya siasa za kisayansi na shupavu zenye akili na weledi katika aridhi ya Tanzania kama kamanda Mdee afanyavyo.
 
Kamanda Crashwise kilicho nifurahisha zaidi sioni Lori lolote hapo kama kwenye Mikutano ya ccm wala hakuna kuwekewa mafuta hapo ndio utajua ccm imechokwa na wa Tanzania watu wamechokwa na porojo mingi asante sana chadma. Tumeanza na Mungu tupo na Mungu natutamaliza na Mungu. Wao wanapesa sisi tunawatu na Mungu
 
Naona CHADEMA Kimekuwa chama cha Wakurya sasa hivi.

HAHAHAA... kwani wewe upo wapi sasahivi?? maana wanataka kufika na kwako ili useme vizuri kwamba wakiwa kwako utasema watakuwa kabila gani..
 
Mdee ni kamanda hasa, maombi yetu kwa Mungu amlinde na kumuepusha na maharamia.
 
Hili ni jeshi la wanawake, bado vijana na wanaume. Ccm mtajibeba!
 
Magamba wa kike hawana uwezo wa kufanya mkutano hadi wajifiche kwenye kwapa la kinana ambako bajeti ya mafuso na wali huwepo ili kuvuta wasikilizaji.
 
Nauliza hiviii ukawa kwa bongo watakuja lini japo ni mjini lakini huku ndio kuna vilaza kuliko hata tunavyofikiria bora mkoani wana mwamko kuliko huku mjini ni janga la mapinduzi.

Waje wapi tena?!
 
Wamechanganyikiwa hawajieleiwi kabisa...
Huu ni wakati mgumu kwa kila mwana - CCM... Unajua ni wakati mgumu sana kwao.. Unabii wa KAKOBE unatimia muda si mrefu, si pesa wala polisi watakaowakomboa.
 
Hakika sito mdharau halima mdee daima!.maana ni chuma cha pua.
 
Kama chadema watawatumia wanawake kuendesha kampeni dhidi ya ccm watakua wamemmaliza adui asubuhi kabisa
 
Nguvu ya ccm inategemea sana wanawake, nguvu ya upinzani ipo kwa vijana wa kiume, ni wakati wa mdee na wenzake kuwaonyesha wanawake wenzao kwamba wanaweza kupata matumaini mapya nje ya ccm
 
Back
Top Bottom