Halima Mdee na team yake ndani ya Ukerewe

Halima Mdee na team yake ndani ya Ukerewe

Mwezi umeshaisha hawa wanawake hawajarudi majumbani kwao kuangalia familia. Au hawana familia?
Mbona unalalamika sana kumbe kupika ni kazi ngumu ndo ajira yako pole sana vp leo umeshapika msosi
 
IMG-20141020-WA0021.jpg
IMG-20141020-WA0025.jpg Viongozi wa BAWACHA wakipokewa ukerewe...
 
Hujatuambia alipokuwa mwanza kahutubia mamia au maelfu ya watu...lakini kwenye gazeti lenu tumesoma kuwa kahutubia maia ya watu....(kiduchu) tafsiri kwamba wamem-mbedya....wameona hana jipya zaidi ya kula ruzuku ya chama chake tu....Amejaribu kuwadanganya watanzania kuwa mchakato wa katiba utarudiwa upya....sijui atatoa yeye hayo mabilioni ya kuurudia huo mchakato.....amesahau kuwa mwanza walikuwa na mwakilishi au wawakilishi ndani ya bunge maalum na walikuwa wanawapa taarifa ya maendeleo ya mchakato wa katiba...anadhani watu wote hawana luninga hivyo itakuwa rahisi kuwadanganya kumbe watu walikuwa wanaangalia bunge mwanzo mwisho na wana akili kama mbayuwayu.....hawashiki akili ya kuambiwa....
Maccm yanachanganyikiwa sana, yakisikia habari hizi.

Go on Mdee,

Sambaza elimu watatambua tu badae.
 
Mwezi umeshaisha hawa wanawake hawajarudi majumbani kwao kuangalia familia. Au hawana familia?

Mbona huulizi juu ya mkulu aka JK kuzurura mara kwa mara ughabuni huku akiacha familia yake magogoni?
 
Mkiti wa cdm mkoa wa mwanza Adrian Tizeba anasema bila kuwashinda ccm kwenye serikali za mitaa safari ya ikulu itakuwa ngumu...

Katibu mwenezi bavicha simbeye anasema ukiona kijana wa umri wake yuko ccm akizeeka atakuwa mchawi

Mabalozi wa ccm wanatumika kama makarai ya zege kwani wanapewa buku tano ya kurubuni ndugu zao leo baada ya hapo magamba yanaenda Dodoma hayarudi mpaka baada ya miaka mitano
 
CCM mnataisoma namba...HAlima anaimaliza na kuiteketeza CCM...Anamvuto wa ajabu sana....Mungu mbariki...Mungu ibariki Chadema..
 
Yaani wewe ni duanzi kweli kweli....ukaingia ndani ya boti ili kupiga picha tu ....tutupie picha za mikutano yake ndio tutatoa tathmini kama kweli watu ni nyomi au kiduchu....
hizo picha zimekuuma sana ndo makamanda wa ukweli leo mtaficha sura zenu chooni ni aibu tupu
 
Nahuwakika Mtaa wa pili ulimi utakua nje hii ndio Chadema usipokunywa utaoga tu hapana chezea mpango wa Mungu
 
Back
Top Bottom