Halima Mdee na team yake ndani ya Ukerewe

Halima Mdee na team yake ndani ya Ukerewe

Ki ukweli ukimtoa Marehemu Bib Titi Mohamed hapajawai kutokea mwanamke yoyote aliyewai kufanya siasa za kisayansi na shupavu zenye akili na weledi katika aridhi ya Tanzania kama kamanda Mdee afanyavyo.

Watu wakielezwa kuwa CDM ni chama kinachofanya siasa za kisayansi wanabisha haijawahi kutokea ktk Karne wanawake wakasimama majukwaani nguvu zao lakini kupitia chadema tunaona u moja wa wanawake wakiandaa Safari wao, majukwaa wao na mikakati yao.Sophia sim a ataweza?
 
Bavicha wako wapi au kibao kimegeuka huyu petrobasi ameshindwa kazi mapema Bavicha imefifia haraka sana
 
Mwenyekiti wa BAWACHA Mhe. Halima Mdee muda huu wako kwenye meli ya kuelekea Ukerewe watakapokuwa na mkutano mkubwa ni kwenye operesheni FUTA DELETE kabisa CCM 2014/2015.

Kiongozi huyo wa kitaifa anaambatana na makamu mwenyekiti Hawa Mwaifunga na katibu mkuu BAWACHA Grace Tedega naibu katibu Kunti Yusuph na makamanda wengine.




UPDATES

Kamanda Halima ndiyo anaingia uwanja wa Nansio tayari kupanda jukwani amembatana na mbunge wa ukerewe Salvatory Machemli


UPDATES 2

Mkiti wa cdm mkoa wa mwanza Adrian Tizeba anasema bila kuwashinda ccm kwenye serikali za mitaa safari ya ikulu itakuwa ngumu...

Katibu mwenezi bavicha simbeye anasema ukiona kijana wa umri wake yuko ccm akizeeka atakuwa mchawi

Mabalozi wa ccm wanatumika kama makarai ya zege kwani wanapewa buku tano ya kurubuni ndugu zao leo baada ya hapo magamba yanaenda Dodoma hayarudi mpaka baada ya miaka mitano
View attachment 194942Kunti Yusuph
attachment.php

eee bhana hii noma sasa , YAANI BAWACHA NDIO IMEFUFUKA NAMNA HII ! HIVI SOFIA SIMBA ANAWEZA KUITISHA HATA MKUTANO WA KATA KWELI ?
 
Kamanda nawapeni hongela wote pigeni kazi,kwasasa makamanda wapumzike wapashe wao watakuja baadaye ila kwasasa nyie mnatosha kudilit maccm nawaomben mje mtupigie shoo 1 katka kata yetu1 dom,nitawapa maelekezo kupitia viongozi wenzenu wa wamama hapa dom, safi bawacha.
 
CCM bila kucheza na Tume ya uchaguzi - aisee ngoma Isambe 2015

attachment.php
 
Nauliza hiviii ukawa kwa bongo watakuja lini japo ni mjini lakini huku ndio kuna vilaza kuliko hata tunavyofikiria bora mkoani wana mwamko kuliko huku mjini ni janga la mapinduzi.
Bongo waache kufanya kazi zao washabikie ujinga nani kasema.
 
Tupia hiyo picha ya mafuriko acha hadithi hadithi....waandishi waliokuwepo ndio walioandika mamia ya watu na sio maelfu.....sasa huko ni kuweweseka?
Mbona unaweweseka sana? CDM NA MWANZA sawa samaki na maji,uwanja wa furahisha ulitapika.Cha Msingi Ni Kuikataa hii katiba ya kifisadi ili kutoa mwanya wa katiba ya wananchi kujadiliwa na kupatikana sio siku nyingi! Hatuwezi kuhalalisha haramu eti kisa pesa nyingi zimetumika.
 
ndio maana unajiita kill..manake hata ukweli wewe unaukill.....picha ya abiria akiwa chomboni iniume? nilidhani utaonyesha mafuriko ya watu kwenye mkutano wake...
hizo picha zimekuuma sana ndo makamanda wa ukweli leo mtaficha sura zenu chooni ni aibu tupu
 
wale ambao mikutano ya vyama vyao hufanyika humu jukwaanina kujigamba kuingia ikulu mjifunze namna ya kujenga chama.
 
Back
Top Bottom