radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
- Thread starter
- #61
Mwanasheria anapoingilia mahakama, tena kwenye kesi inayoendelea.
Hata kama taaluma imeonesha ushahidi unamuelemea Sugu, alichotakiwa kufanya ni kuongeza nguvu na si kufanya hivi alivyofanya.
Siasa inapozidi nguvu ya weledi watu tunakuwa mahayawani.
Kazungumzia suala la dhamana ipo wazi je hilo ni uongo?