Halima Mdee: Kuna dhamira ya kutaka kumfunga Sugu

Halima Mdee: Kuna dhamira ya kutaka kumfunga Sugu

Msukuma alienda kuleta fujo mgodini kesi yake ipo?

Sugu kakanyaga Bomu kumtukana Rais Mzalendo bila ya kujua anarekodiwa na Askari Mzalendo !
Lazima afungwe this time ndio sababu Mwendesha mashtaka wa Serikal kaona unatosha mashahidi wawili waliobaki wasitoe ushahidi
 
Mmeambiwa mbaki kwenye nafasi zenu mahakama ni mhimili unaojitegemea hauna uhusiano na siasa wewe unamshawishi jaji mkuu kuingilia nawe ni mwanasiasa sheria zitafuatwa tusubili
 
Sugu kakanyaga Bomu kumtukana Rais Mzalendo bila ya kujua anarekodiwa na Askari Mzalendo !
Lazima afungwe this time ndio sababu Mwendesha mashtaka wa Serikal kaona unatosha mashahidi wawili waliobaki wasitoe ushahidi
Kivuko kibovu na uuzaji wa nyumba za umma sio? Mungu ajua hakuna wa kuishi milele huu utukufu wa ulimwengu unatupumbaza sana ogopa kufukiwa futi saba ardhin ndugu
 
Hii nchi kama ingekuwa basi wengine tungekuwa tumeshatokea dirishan...
 
Yote haya nimeyaona, nikatia moyoni mwangu kila kazi ambayo imefanywa chini ya jua, wakati ambao mwanadamu amemtawala mwanadamu kwa kumuumiza.
 
Nisingependa kujikita zaidi kwenye lugha za makondom na makarai lugha za mkapa na yule dogo za kuwalaghai wafuasi wa ccm

Kesi ya msukuma alipoenda kuleta fujo mgodini na kuhamasisha raia kuzuia shughuli za uzalishaji kule ipo?
Kesi ya kuwakusanya akina mama na kuandamana kinyume cha utaratibu mume wa naniliu ipo?Kesi ya john heche kuwakusanya watu na kuleta fujo mgodi ipo?[HASHTAG]#Kataa[/HASHTAG] kuwa karai
 
Kesi ya kuwakusanya akina mama na kuandamana kinyume cha utaratibu mume wa naniliu ipo?Kesi ya john heche kuwakusanya watu na kuleta fujo mgodi ipo?[HASHTAG]#Kataa[/HASHTAG] kuwa karai

Vyama vyote vina makarai kama mtulia kaja juzi na kulamba nafasi ya ubunge wafia chama mpo sasa nyie sio makarai? Ninachoshukur umeorodhesha madhaifu ya ccm ktk kesi ambazo huendeshwa kwa utashi wa siasa na kukomoana kumbe bila msukuma kushambulia mgodini wakina heche lingewafia aiseee nchi ya laana hii.
 
Kesi ya kuwakusanya akina mama na kuandamana kinyume cha utaratibu mume wa naniliu ipo?Kesi ya john heche kuwakusanya watu na kuleta fujo mgodi ipo?[HASHTAG]#Kataa[/HASHTAG] kuwa karai
huu utawala wa mshindwa shida huyu baba naaamini kweli anawazimu kama watu wanavyosema aliwahi tibiwa milembe huwezi kuendesha nchi kwa mtutu wa bunduki na kunyanyasa binadamu kwa kukiuka haki za binadamu ukijuwa kabisa waliofanya hivyo walikufa vifo vya aibu walisokomezwa majiti makalioni wengine wakafa nje ya nchi zao wengine wakakamatwa kwenye mashimo kama panya ,Magufuli he should watch it atakuja kujuta maisha yake yote
 
tofautisha msanii na kiongozi wa wananchi Halima anaongoza watu inatakiwa aonyeshe tabia njema mbele ya jamii mkuu

Mbona unachanganya madesa? Wapi halima kamkosea heshima jaji mkuu? Hili Taifa la ajabu sana ina maana hata kuongelea jambo ni utovu wa nidhamu? Unaijua nguvu ya msanii ktk jamii? Sugu na prifesa jay walikuwa kundi gani kama sio wasanii?
 
Nadhani ni wakati wa upinzani Tanzania kuwa kimkakati na kuja na different approach kwa maana usipojua wakati wa kubadilika kwenye siasa utaumia vibaya yale mazoea ya kutopoka na kutokuwa na kiasi katika maneno yao vitawaghalimu sana
 
Back
Top Bottom