Mkuu umemaliza yoote!Kesi ya msukuma alipoenda kuleta fujo mgodini na kuhamasisha raia kuzuia shughuli za uzalishaji kule ipo?
Mkuu umemaliza yoote!Kesi ya msukuma alipoenda kuleta fujo mgodini na kuhamasisha raia kuzuia shughuli za uzalishaji kule ipo?
Kwa hiyo angepata dhamana ndiyo asingefunwa hata kama ana hatia?Mbunge wa jimbo la Kawe (CHADEMA) Mhe. Halima Mdee amefunguka na kumuomba Jaji Mkuu Prof. Ibrahim Hamis Juma kufuatilia mwenendo wa kesi za kisiasa nchini na kudai kuwa baadhi ya mahakimu wamekuwa wakipindisha mambo kwa sababu za kisiasa.
![]()
Halima Mdee amesema hayo wakati akiongea na www.eatv.tv na kusema kuwaa Jaji Mkuu anaposema wanasiasa wasiingilie Mahakama hivyo na yeye anapaswa kusimama na kuhakikisha kuwa Mahakimu wakitenda haki na kukemea wale ambao kwa makusudi wamekuwa wakipindisha haki za watu.
"Ni zaidi ya wiki sasa Mhe. Sugu yupo ndani lakini amenyimwa dhamana kwa kosa ambalo linadhaminika kisheria na kiutaratibu kwa muhibu wa sheria zetu kama kosa linadhaminika ni wajibu wa polisi kutoa dhamana na polisi wakikushikilia ndani ya zile saa 48 wakikupeleka mahakamani ni jukumu la Mahakama kufanya hivyo sasa suala la Sugu limeenda Mahakamani ambapo huo ndiyo muhimili pekee ambao tunautegemea . Sasa unapokwenda Mahakamani sehemu pekee ambayo unaitegemea kupata haki halafu unaona hiyo haki haipatikani kwa makusudi kabisa hivyo Jaji Mkuu na yeye anapaswa kuyatambua haya na kuwakemea baadhi ya Mahakimu ambao wanafanya vitu kama hivi" alisema Mdee
Mbali na hilo Halima Mdee amedai kuwa kuna tetesi za kutaka kumfunga Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe. Joseph Mbilinyi “Sugu' kama ambavyo alifungwa Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali
who cares let him face the lawMbunge wa jimbo la Kawe (CHADEMA) Mhe. Halima Mdee amefunguka na kumuomba Jaji Mkuu Prof. Ibrahim Hamis Juma kufuatilia mwenendo wa kesi za kisiasa nchini na kudai kuwa baadhi ya mahakimu wamekuwa wakipindisha mambo kwa sababu za kisiasa.
![]()
Halima Mdee amesema hayo wakati akiongea na www.eatv.tv na kusema kuwaa Jaji Mkuu anaposema wanasiasa wasiingilie Mahakama hivyo na yeye anapaswa kusimama na kuhakikisha kuwa Mahakimu wakitenda haki na kukemea wale ambao kwa makusudi wamekuwa wakipindisha haki za watu.
"Ni zaidi ya wiki sasa Mhe. Sugu yupo ndani lakini amenyimwa dhamana kwa kosa ambalo linadhaminika kisheria na kiutaratibu kwa muhibu wa sheria zetu kama kosa linadhaminika ni wajibu wa polisi kutoa dhamana na polisi wakikushikilia ndani ya zile saa 48 wakikupeleka mahakamani ni jukumu la Mahakama kufanya hivyo sasa suala la Sugu limeenda Mahakamani ambapo huo ndiyo muhimili pekee ambao tunautegemea . Sasa unapokwenda Mahakamani sehemu pekee ambayo unaitegemea kupata haki halafu unaona hiyo haki haipatikani kwa makusudi kabisa hivyo Jaji Mkuu na yeye anapaswa kuyatambua haya na kuwakemea baadhi ya Mahakimu ambao wanafanya vitu kama hivi" alisema Mdee
Mbali na hilo Halima Mdee amedai kuwa kuna tetesi za kutaka kumfunga Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe. Joseph Mbilinyi “Sugu' kama ambavyo alifungwa Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali
Basi tufanye kuwa na wewe umenenepa?Halima kanenepa!
Chenge na tibaijuka safi!!!Kama kosa lipo afungwe tu kwani yy yupo juu ya sheria afanye makosa na aachiwe kisa mpinzani,katenda kweli uthibitisho upo apewe haki anayostahili tena hiyo kesi ikimbizwe haraka kumuheshimu asipopatikana na hatia aachiwe na akikutwa nayo apate haki yake kama wengine,tushachoka siasa za Maji taka.
Ingekuwa mtu una fursa ya kuchagua uzaliwe nchi gani na ningechagua kuzaliwa katika nchi hii,ningejilaumu mpaka kufa.

Ulichoandika hapa ni mipasho tu hamna hata point
Halima mdee kasema dhamana ipo wazi kwa nn asipewe? Hilo ni swali la kwanza.
Mwanasheria wa serikali kasema yupo ndani kwa usalama wake kapata taarifa atauliwa
Kesi hiyo ilikuwepo toka mwaka jana sugu akiwa nje kakamatwa tarehe 16 je angekufa kabla ya kwenda mahakaman mwanasheria hizo taarifa za usalama wake Angezificha toka kwa watu wasiojulikana waliomwambia na anawafaham? Kwa nini alisubilia had aende mahakama ndo ajali usalama wake wakati alikuwa nje hakujali? Dogo watu wana akili sana achana na michezo ya kitoto ya serikali ya magufuli hata chizi anajua hii michezo ya kijinga
Hivi mawaziri wapumbavu ni wa awamu ipi?Yaani akiachwa huru hii tabia ya wabunge kujiona wako juu ya Sheria haitakoma, halima mdee tulia dawa iwaingie hii Nchi kwa sasa iko huru sio zama za kikwete matusi ya wanasiasa hayakuwa sehemu ya kosa.
Kwa usawa wa Magu Sheria lazima ifanye kazi, kwa hiyo acha pupa na kuingilia muhimili wa Mahakama wacha ufanye kazi yake .
Surewacha afungwe tu, amezidi kuropoka!
maneno yote ya halima la maana ni unene wake tu,kweli wewe jinga lao tena jinga kwelikweli.Halima kanenepa!
Ingekuwa mtu una fursa ya kuchagua uzaliwe nchi gani na ningechagua kuzaliwa katika nchi hii,ningejilaumu mpaka kufa.
Wewe kada mfurukutwa hujaelewa!! Anazungumzia haki ya dhamana iliyopo kisheria hajasema hana kosa!!Halima nilidhani umekomaa kumbe bado.
Unajua kesi ipo mahakamani halafu unataka kuaminisha Umma wa Watanzania kuwa Sugu hana hatia? Umejuaje kuwa hana hatia?
Jitahidi utoe hoja zenye mashiko kama mwanasiasa mkomavu. Hoja dhaifu waachie vijana
Kama Sugu anamakosa atahukumiwa tu kwani sheria ni msumeno, lakini kama hana hatia ataachiwa huru.
huna akili wewe???? ama ndo nyie mnaotumwa mitandaoni????Sasa kama ni ujinga kihere here gani kilichokufanya kudandia!Nyie ni mtaji wa CDM endeleeni kutumika,Hizo mahakama anazozisemea huyu zikiwapa haki nyinyi zinakuwa zinatenda haki ila zikitenda haki kwa upande wa serikali mahakama zinaingiliwa lini mtaachaga tabia za kindumilakuwili!
Mkuu sasa hivi upo salama Kama upo CCMYaani akiachwa huru hii tabia ya wabunge kujiona wako juu ya Sheria haitakoma, halima mdee tulia dawa iwaingie hii Nchi kwa sasa iko huru sio zama za kikwete matusi ya wanasiasa hayakuwa sehemu ya kosa.
Kwa usawa wa Magu Sheria lazima ifanye kazi, kwa hiyo acha pupa na kuingilia muhimili wa Mahakama wacha ufanye kazi yake .