Halima Mdee: Kuna dhamira ya kutaka kumfunga Sugu

Unawaandalia mazingira magumu wanaokufuata ni kama ambavyo mwenyekit wa ccm analia na makinikia kuna watu waliharibu ila wewe mnufaika wa huu mfumo mchafu huwezi kuona baadae wanao watasaga meno..
......
.......Salute GT
 
Ingekuwa mtu una fursa ya kuchagua uzaliwe nchi gani na ningechagua kuzaliwa katika nchi hii,ningejilaumu mpaka kufa.
Usiwaze hivyo, subiri 2020 kama waTZ watafunguka macho na kuondoa hili jinamizi hakika baada ya hapo watu wengi nje ya nchi hii watatamani heri wangezaliwa Tanzania.
 
wacha afungwe tu, amezidi kuropoka!

Pole sana.Kuna siku na wewe utafungwa.Kuna maisha baada ya Dunia hii.Robert Kisanga huyo ameondoka na heshima yake ya kutenda haki jiulize utaondoka na nini?Kuabudu na kumsujudia Binadamu mwenzako?
 
Unawaandalia mazingira magumu wanaokufuata ni kama ambavyo mwenyekit wa ccm analia na makinikia kuna watu waliharibu ila wewe mnufaika wa huu mfumo mchafu huwezi kuona baadae wanao watasaga meno..
Umeongea kitu kikubwa sana....Ambacho hao kunguchiro ningumu kuelewa!
 
Mbunge wa jimbo la Kawe (CHADEMA) Mhe. Halima Mdee amefunguka na kumuomba Jaji Mkuu Prof. Ibrahim Hamis Juma kufuatilia mwenendo wa kesi za kisiasa nchini na kudai kuwa baadhi ya mahakimu wamekuwa wakipindisha mambo kwa sababu za kisiasa.

halima%20mdee.jpg

Halima Mdee amesema hayo wakati akiongea na www.eatv.tv na kusema kuwaa Jaji Mkuu anaposema wanasiasa wasiingilie Mahakama hivyo na yeye anapaswa kusimama na kuhakikisha kuwa Mahakimu wakitenda haki na kukemea wale ambao kwa makusudi wamekuwa wakipindisha haki za watu.

"Ni zaidi ya wiki sasa Mhe. Sugu yupo ndani lakini amenyimwa dhamana kwa kosa ambalo linadhaminika kisheria na kiutaratibu kwa muhibu wa sheria zetu kama kosa linadhaminika ni wajibu wa polisi kutoa dhamana na polisi wakikushikilia ndani ya zile saa 48 wakikupeleka mahakamani ni jukumu la Mahakama kufanya hivyo sasa suala la Sugu limeenda Mahakamani ambapo huo ndiyo muhimili pekee ambao tunautegemea . Sasa unapokwenda Mahakamani sehemu pekee ambayo unaitegemea kupata haki halafu unaona hiyo haki haipatikani kwa makusudi kabisa hivyo Jaji Mkuu na yeye anapaswa kuyatambua haya na kuwakemea baadhi ya Mahakimu ambao wanafanya vitu kama hivi" alisema Mdee

Mbali na hilo Halima Mdee amedai kuwa kuna tetesi za kutaka kumfunga Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe. Joseph Mbilinyi “Sugu' kama ambavyo alifungwa Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali
i
Inaonekana CDM ni taasisi ya kutunga matusi.
Maana kila mbuge/diwani akishatukana au kudharilisha taifa/viongozi wa serekali.Viongozi wote wa CDM huanza kuwatetea na kulaghai wananchi eti kuna njama za kuwahujumu.
Wache lugha zisizo na staha waone kama wabugudhiwa
 
Ingekuwa mtu una fursa ya kuchagua uzaliwe nchi gani na ningechagua kuzaliwa katika nchi hii,ningejilaumu mpaka kufa.
Mwanaume anasifika kwa kupigania hali bora na sio kukuta hali bora

Hata huko unakutamani kuwa ungezaliwa na wao walipigana na hali zao ikiwemo na utawala mbovu

Kwanini wewe usiwe chem chem ya mabadiliko hapa nchini mwako...kwa matendo na sio kwa maandishi nyuma ya keyboard.....!!!?

Mabadiliko yanaanza na wewe

Watawala sio malaika kutoka mbinguni bali ni watu wenye nafsi na mwili kama wako wewe na mimi bali kinachowabadilisha na kuwa mashetani ni MADARAKA ambavyo vimetoka kwetu..........

Hakuna watawala bila ya watawaliwa.....sisi pia tunaweza kuwatoa hapo kama tukiamua na sio kwa maandishi ya nyuma ya keyboard au smartphones bali kwa matendo yatakayo onyesha kuwa kweli tumekinaishwa na ufedhuli wao.......

TIME WILL TELL

NOTHING LAST FOREVER
 
Mbunge wa jimbo la Kawe (CHADEMA) Mhe. Halima Mdee amefunguka na kumuomba Jaji Mkuu Prof. Ibrahim Hamis Juma kufuatilia mwenendo wa kesi za kisiasa nchini na kudai kuwa baadhi ya mahakimu wamekuwa wakipindisha mambo kwa sababu za kisiasa.

halima%20mdee.jpg

Halima Mdee amesema hayo wakati akiongea na www.eatv.tv na kusema kuwaa Jaji Mkuu anaposema wanasiasa wasiingilie Mahakama hivyo na yeye anapaswa kusimama na kuhakikisha kuwa Mahakimu wakitenda haki na kukemea wale ambao kwa makusudi wamekuwa wakipindisha haki za watu.

"Ni zaidi ya wiki sasa Mhe. Sugu yupo ndani lakini amenyimwa dhamana kwa kosa ambalo linadhaminika kisheria na kiutaratibu kwa muhibu wa sheria zetu kama kosa linadhaminika ni wajibu wa polisi kutoa dhamana na polisi wakikushikilia ndani ya zile saa 48 wakikupeleka mahakamani ni jukumu la Mahakama kufanya hivyo sasa suala la Sugu limeenda Mahakamani ambapo huo ndiyo muhimili pekee ambao tunautegemea . Sasa unapokwenda Mahakamani sehemu pekee ambayo unaitegemea kupata haki halafu unaona hiyo haki haipatikani kwa makusudi kabisa hivyo Jaji Mkuu na yeye anapaswa kuyatambua haya na kuwakemea baadhi ya Mahakimu ambao wanafanya vitu kama hivi" alisema Mdee

Mbali na hilo Halima Mdee amedai kuwa kuna tetesi za kutaka kumfunga Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe. Joseph Mbilinyi “Sugu' kama ambavyo alifungwa Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali
Kila kitu kina mwisho, hawa fisiem wanapambana kwa nguvu kuua upinzani, IPO SIKU
 
Sugu anatakiwa akae ndani miezi sita

siasa za matusi hazina nafasi

Lema kimyaaa

kwani mnyika, baregu, mbowe, temu, kafulila, zitto nn.k washawahi kuwekwa ndani kwa lugha chafu??..
 
Mh Halima mdee barabara hazipitiki,majia hayatembei mvua kidogo tuu mafuriko. Wewe umekaa unaongelea ya sugu.
2020 usije ukatafuta mchawi wakati wananchi wako tunataabika.
Zoezi zima la uzoaji wa Takataka jimboni limegubikwa na utapeli ama Brokendown.
Kampuni za mifukoni zisizokuwa na mtaji wa kuzoa taka mmezipa tenda hawana magari hawana nidhamu wala business attitude na fedha wanakusanya nyingi tuu. Ukiwa kama mbunge na diwani mmekutana wote wasanii Mh Rwakatare Muta. Hamusikilizi wala kuwa Voice of the voters.
Nyie mnabadilisha ma Toyota tuu.Msije mkatuona wabaya uchaguzi utakapokuja
 
Hamna dhamira huyo kilichomkuta unanikumbushia ule wimbo wa MLAZE PEMA PEPOONI KAMANDA
BURIANI NAAGAMASELA
 
Sugu anatakiwa akae ndani miezi sita

siasa za matusi hazina nafasi

Lema kimyaaa

kwani mnyika, baregu, mbowe, temu, kafulila, zitto nn.k washawahi kuwekwa ndani kwa lugha chafu??..
Kafulila katoka ccm?
 
Ingekuwa mtu una fursa ya kuchagua uzaliwe nchi gani na ningechagua kuzaliwa katika nchi hii,ningejilaumu mpaka kufa.
Kunywa sumu urudi kwa muumba huko kuna raha sana
Sugu afungwe tu hakuna jinsi,tunasubiri leo aanze kuleta mashahidi wake wa uongo na kweli,na wakisema uongo nao watafungwa
Kukubalika kwa ile tape kama ushahidi kumemaliza kila kitu,aje shahidi wa sugu aseme kuwa hakusikia kuwa kasema Rais ni muuaji
Kesi hii iwe fundisho kwa waropokaji
 
Mbunge wa jimbo la Kawe (CHADEMA) Mhe. Halima Mdee amefunguka na kumuomba Jaji Mkuu Prof. Ibrahim Hamis Juma kufuatilia mwenendo wa kesi za kisiasa nchini na kudai kuwa baadhi ya mahakimu wamekuwa wakipindisha mambo kwa sababu za kisiasa.

halima%20mdee.jpg

Halima Mdee amesema hayo wakati akiongea na www.eatv.tv na kusema kuwaa Jaji Mkuu anaposema wanasiasa wasiingilie Mahakama hivyo na yeye anapaswa kusimama na kuhakikisha kuwa Mahakimu wakitenda haki na kukemea wale ambao kwa makusudi wamekuwa wakipindisha haki za watu.

"Ni zaidi ya wiki sasa Mhe. Sugu yupo ndani lakini amenyimwa dhamana kwa kosa ambalo linadhaminika kisheria na kiutaratibu kwa muhibu wa sheria zetu kama kosa linadhaminika ni wajibu wa polisi kutoa dhamana na polisi wakikushikilia ndani ya zile saa 48 wakikupeleka mahakamani ni jukumu la Mahakama kufanya hivyo sasa suala la Sugu limeenda Mahakamani ambapo huo ndiyo muhimili pekee ambao tunautegemea . Sasa unapokwenda Mahakamani sehemu pekee ambayo unaitegemea kupata haki halafu unaona hiyo haki haipatikani kwa makusudi kabisa hivyo Jaji Mkuu na yeye anapaswa kuyatambua haya na kuwakemea baadhi ya Mahakimu ambao wanafanya vitu kama hivi" alisema Mdee

Mbali na hilo Halima Mdee amedai kuwa kuna tetesi za kutaka kumfunga Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe. Joseph Mbilinyi “Sugu' kama ambavyo alifungwa Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali

Mwanasheria anapoingilia mahakama, tena kwenye kesi inayoendelea.

Hata kama taaluma imeonesha ushahidi unamuelemea Sugu, alichotakiwa kufanya ni kuongeza nguvu na si kufanya hivi alivyofanya.

Siasa inapozidi nguvu ya weledi watu tunakuwa mahayawani.
 
Back
Top Bottom