Halima Mdee: Bold and Beautiful!

Halima Mdee: Bold and Beautiful!

je halima mdee na wenzake wa cdm wako tayari kukubaliana na matokeo ya kususia ufunguzi wa bunge la 10 hapo juzi; kama wenzao wa ccm walivyotishia juzi?




lets just wait and see kama hiyo move inayovumishwa kupendekezwa na mzee wa vijisenti itakuwa kweli au la; ndipo tunaweza kuwa na clue kama mdee na wenzake watakuwa ktk position gani.
 
Na mie namkubali, kwa kweli ni Iron Lady wetu huku jimboni Kawe, ila akituletea maji na tulipie huku Bunju B viwanja vya mradi, lazima nimpe tu kura yangu tena kwa kweli...
 
Mna mambo nyie watu. Halima Mdee atabakia kuwa one of the strong ladies in this nation
 
Back
Top Bottom