Halima Mdee: Bold and Beautiful! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Halima Mdee: Bold and Beautiful!

Discussion in 'Jamii Photos' started by minda, Sep 22, 2010.

 1. minda

  minda JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,068
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
  Namuita iron lady!!! huyu mheshimiwa anayemaliza muda wake kama mbuge wa kuteuliwa, sasa anagombea kupitia chadema kwenye jimbo ambalo yule anayemalizia kaamua kulikimbia (kwa kumwogopa halima???) na kugombea kupitia nafasi ya NGOs.
  [​IMG]
  kihistoria ametoka kwenye familia ya ccm lakini akaamua kutoka kivyake; akiweka 'historia' kisogoni (kwanini asiitwe bold/iron lady?)
  [​IMG][​IMG][​IMG]
  akiwa mjengoni amefanikiwa kutoa mchango wa mawazo kwa ujasiri wa hali ya juu kiasi cha kufikia kukwaruzana na kigogo wa ccm ambaye aliamua kumpeleka 'nusu-mahakama' (kwa 6) lakini kwa ujasiri wake mhe. mdee (as she then was), ilibidi mzee wa bumbuli alazimike ku 'drop charges'  my take:
  huyu mdada anafaa kupewa nafasi ya ubunge katika jimbo la uchaguzi la kawe; she is bold and yet beautiful!!!
  (huo mtazamo wangu tu usijali sana!!!)


  05-novemba-2010: feed back

  Hatimaye mpaka leo hii, halima mdee ni mbunge mteule wa jimbo la kawe.

   
 2. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2010
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,094
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  mmamkubali, huyu ni mpambanaji
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,813
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  hii mada inaweza kufungua a can of worms hasa kwenye kipindi hiki cha uchaguzi maana imekaa ki-personal zaidi

  haya bana
   
 4. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 792
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kwa michango yake aliyotoa kuchangia hoja mbalimbali bungeni she deserve to MP for Kawe
   
 5. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #5
  Sep 22, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naomba kuuliza swali, Kaolewa jamani au anamchumba?
   
 6. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,009
  Likes Received: 3,347
  Trophy Points: 280
  Namkubali Halima Mdee hivi ameshaolewa ?.Kama bado naomba mwenye kujua namba yake ya simu / email yake.Ningekuwa naishi Kawe hakika ningempa kura yangu michango yake pale mjengoni ilikuwa ikilenga zaidi maslahi ya Tanzania.Wapiga kura wa Kawe tafadhali mtusaidie Mdee arudi mjengoni.


   
 7. J

  Jafar JF-Expert Member

  #7
  Sep 22, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wakazi wa KAWE mpigieni kura huyu dada
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Sep 22, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,233
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Ilove the girl(politically)!...wanaoulizia kuolewa sielewi wanataka kitu gani, au wamekumbushwa na mleta mada juu ya uwepo wake!...huh!
   
 9. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #9
  Sep 22, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 711
  Trophy Points: 280
  Huyu binti jinsi alivyowaumbua Makamba na Londa kule bungeni, anafaa kwa kila kigezo kuwa mbunge wangu wa Kawe na kura yangu kisha ipata!!
   
 10. Makanyaga

  Makanyaga JF-Expert Member

  #10
  Sep 22, 2010
  Joined: Sep 28, 2007
  Messages: 2,351
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Du, nadhani ni mke mtu lakini!
   
 11. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #11
  Sep 22, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,271
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Unaongea kama mzee wa kamati ya miss tanzania vile
   
 12. M

  Msharika JF-Expert Member

  #12
  Sep 22, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 935
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Yes she can, she has shown ability to handle matters and prent issues in parliament.
  Give her your vote
   
 13. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #13
  Sep 22, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 11,316
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  Mpeni tu jimbo huyu dada aendeleze ya msingi. not only is she bold and beautiful but also gorgeous!
   
 14. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #14
  Sep 22, 2010
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,679
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  She deserves the win!!! I love her so much, ni mpiganaji hasa, nampenda, nampenda, nampenda. najua utashinda!!! all the best cute...
   
 15. m

  mamanalia JF-Expert Member

  #15
  Sep 23, 2010
  Joined: Nov 7, 2009
  Messages: 671
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wewe unafikiri alikwenda mjengoni hivi hivi. Yaani wampe viti maalamu na chadema bila kufanya mutual benefit!!!!!!!!
  Expaaaaand your horizoooooooon.
   
 16. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #16
  Sep 23, 2010
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,094
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  ila sauti yake inanitia mashaka:

  huenda anavuta bangi

  au mtu wa zantel to zantel
   
 17. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #17
  Sep 23, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hahah jamani hii misemo ya siku hizi ......hapana kwa kweli!
   
 18. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #18
  Sep 23, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 711
  Trophy Points: 280
  Huyu binti hawezi kujihusisha na mambo yenu ya kishetani!!
   
 19. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #19
  Sep 23, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 2,997
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Mumeanza mjadala wa Halima Mdee vizuri sasa akina Mtu wa Pwani wanaleta ujinga wao. Wanavunjia watu heshima hata wale wanaojiheshimu.

  Kuna siku hapa atashitakiwa mtu kwa niaba ya Jamii forum.
   
 20. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #20
  Sep 23, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  mhhhhh
   
Loading...