Mkuu umenena wazi na kweli kabisa. Wapinzani hapa ndipo wanapoudhi wapiga kura. Kwanza kila mpinzani ni lazima atizame maeneo ambayo comperative advantage kwa chama chake ipo. Kwa mantiki hii kama chama pinzani kina political comperative advantage jimbo fulani basi wakiachie ili kipambane na mmbadala wake ambao kwa sasa ni CCM. Kwa kawe ninaona Halima anafaa kuliko Mbatia hivyo Mbatia angemwacha Halima apambane na huyo msanii wa CCM na lazima angedondoka tu. Hata hivyo, bado mapema na Mbatia anaweza shauriwa ajitoe kwa sasa na kutangaza wafuasi wake wampe Halima. Kiukweli kama watabaki vijana hawa jua kabisa jimbo litachukuliwa na CCM. Upinzani ukitaka kufanikiwa ni lazima wakubali kufanya maamuzi magumu. Hii pia hata kwa wagombea urais sikuona mantiki ya kutoamua kumwachia yule ambaye tayari watu wana Imani naye na badala yake mnaweka wagombea ambao hata hawajawahi kusikika katika redio mbao na wengine ni wale wale ambao walishajaribu awamu zilizopita na kushindwa vibaya.
Lile jimbo la CCM, na wamemwaga posters kila kona, kila mti mpaka kwenye mitaro ya maji machafu. Halima hawezi kushinda.
Mkuu mabango si hoja!! Hata kule Marekani kwa Obama unataka kuniambia kuwa Republican hawakuwa na mabango au strategy?? Walishindwa pia!! Halafu nikuulize kama kweli huyo mgombea wenu anajiamini mbona anatumia nguvu kubwa sana kuomba hizo kura??Kama alifanya mambo mazuri si asubiri kura? Chema chajiuza kibaya chajitembeza!! Yaani anatumia nguvu kubwa na hela za walipa kodi kuwatuma mke na mtoto watangulie kupeleka bakuli la kuomba kura?? Subiri matokeo mkuu, tarehe 31 Oktoba si mbali.
Mkuu umenena wazi na kweli kabisa. Wapinzani hapa ndipo wanapoudhi wapiga kura. Kwanza kila mpinzani ni lazima atizame maeneo ambayo comperative advantage kwa chama chake ipo. Kwa mantiki hii kama chama pinzani kina political comperative advantage jimbo fulani basi wakiachie ili kipambane na mmbadala wake ambao kwa sasa ni CCM. Kwa kawe ninaona Halima anafaa kuliko Mbatia hivyo Mbatia angemwacha Halima apambane na huyo msanii wa CCM na lazima angedondoka tu. Hata hivyo, bado mapema na Mbatia anaweza shauriwa ajitoe kwa sasa na kutangaza wafuasi wake wampe Halima. Kiukweli kama watabaki vijana hawa jua kabisa jimbo litachukuliwa na CCM. Upinzani ukitaka kufanikiwa ni lazima wakubali kufanya maamuzi magumu. Hii pia hata kwa wagombea urais sikuona mantiki ya kutoamua kumwachia yule ambaye tayari watu wana Imani naye na badala yake mnaweka wagombea ambao hata hawajawahi kusikika katika redio mbao na wengine ni wale wale ambao walishajaribu awamu zilizopita na kushindwa vibaya.
[COLOR=red said:Kanyafu Nkanwa;[/COLOR]1100715]katika wapinzani wenye akili,, huyu pia namkubali, yaani kama nilivyokuwa namkubali Slaa alipokuwa Mbunge.
Since hatuwezi kumuongelea mtu mke bila kutaka kumuoa na basically kutaka kumpigia puli waziwazi. I will reluctantly say my piece.
She looks like a dyke, of course nothing wrong with that for me if that's what she is and wants. I am more like "Amefanya nini bungeni ?"
Namuita iron lady!!! huyu mheshimiwa anayemaliza muda wake kama mbuge wa kuteuliwa, sasa anagombea kupitia chadema kwenye jimbo ambalo yule anayemalizia kaamua kulikimbia (kwa kumwogopa halima???) na kugombea kupitia nafasi ya NGOs.
kihistoria ametoka kwenye familia ya ccm lakini akaamua kutoka kivyake; akiweka 'historia' kisogoni (kwanini asiitwe bold/iron lady?)
akiwa mjengoni amefanikiwa kutoa mchango wa mawazo kwa ujasiri wa hali ya juu kiasi cha kufikia kukwaruzana na kigogo wa ccm ambaye aliamua kumpeleka 'nusu-mahakama' (kwa 6) lakini kwa ujasiri wake mhe. mdee (as she then was), ilibidi mzee wa bumbuli alazimike ku 'drop charges'
my take:
huyu mdada anafaa kupewa nafasi ya ubunge katika jimbo la uchaguzi la kawe; she is bold and yet beautiful!!!
(huo mtazamo wangu tu usijali sana!!!)
Mzuri! hana sura ya uongozi Ameka ki bongo Flava zaidi kama SUGU ! namshauri ASUBIRI KWANZA MUDA WAKE UTAFIKA
halima mdee akiwa kazini wakati wa kampeni zinazoendelea sasa(picha kwa hisani ya ippmedia).
wakazi wa kawe mpigieni kura huyu dada